Habari wana JF, msaada wenu wa kimawazo katika hii taaluma ya SHERIA. Ni kwamba, Police ana andaliwa kulinda usalama wa Raia na mali zake, Mwalimu kutoa duhuma ya Ufundishaji/Ualimu...
Mimi nimesoma Arts.Ila naona kama vile walimu Wa Sayansi mambo yao ni mengi na magumu.Hata chuo kikuu wanasoma Kwa ada juu kidogo.Sasa ni kwanini Wanalipwa sawa na Arts???
Kwa sasa watumishi wa umma wenye elimu ya chini wameonekana kudharauliwa mno mahala pa kazi huku mafanikio ya aina yoyote au kudorora kwa kampuni au shirika kunategemea hawa watu wa chini ambao...
Wale waloapply SUA (online application) vp akaunti zenu ukitaka ku log in nanyi zinaonesha hivyo, kwa walokuwa selected na ambao wameomba awamu ya pili? please tujuzane jamani.
Wakuu naomba msaada mtu kachaguliwa hizo program na vyuo tajwa,ipi yenye tija zaidi baada ya kumaliza kwa kipindi hiki?
Hyo ya Udom in Bachelor of Education in special needs na DUCE ni Bachelor of...
Shule ya Waja Girls Iliyoko mkoan Geita Jana imefanya maajabu baada ya kuwazawadia wanafunzi wawili, Byera Kabaruka na Edina ambao waliingia katika kumi bora wasichana katika masomo ya sayansi...
Habar za humu wanajf ,
Mimi ni kijana nilimalza form 4 mwaka 2012 na kupata 4 ya 28 ,nimesoma MASOMO YAARTS .Matokeo hayo yaliniumiza sana na kunikatisha tamaa kiukweli.Sasa baadae 2014 nkaenda...
habari wana jamiii forum ni imani yangu mu wazima wa afaya
ninaomba kujuzwa kujuzwa utaratibu wa maombi ya kujiunga na na chuo kama jeh muda ulio tolewa bado au umekwisha tafadhali msaaada juuu...
Napenda kuwakumbusha undergraduate wote ambao mtaanza mwaka wa kwanza wa masomo ya chuo kikuu mambo machache:
Hakikisha una set goals katika masomo yako yaani GPA unayotaka kupata.
Simamia lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.