Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa wanafunzi walio kwenye selection ya vyuo vikuu ila majina yao yamekua mismatch je wamaomba tena kwenye hii second round?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Changamoto kubwa kwa mwaka huu wa masomo kwa wanafunzi waliomaliza diploma waliokuwa na lengo na ndoto za kuendelea na masomo kwa ngazi ya degree ni kukosa hii namba ya AVN. Kuna sababu nyingi...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne, waishio Dar es Salaam, wanaohitaji tuition ya masomo ya sayansi, fizikia, kemia na hesabu, wawe wanaishi Ubungo, Kibo, Mabibo. Nafundisha...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
kuna Mdogo wangu kachaguliwa kozi hii, vipi soko lake LA ajira mtaani hasa kwa wale ambao tayari mmeshahitimu shahada ya kozi hii? Karibuni kwa ndondoo na taarifa mhimu juu ya kozi hii
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura amewazawadia magari wanafunzi wake waliohitumu Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Waja Girls baada ya kutajwa...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
Husika na title ya thread Kwa yeyote mwenye uhitaji kufahamu undani wa kozi mbalimbali mnakaribishwa Sample ya best option kwa baadhi ya kozi ni kama zifuatazo TOP AND BEST COURSE -Kozi zote za...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Msaada jamani, nimechaguliwa agricultural economics na banking and finance iv ipi ni nzr zaid?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa chuo cha nit mwaka huu ningependa kusikia maneno ya wahenga mnaokijua chuo hiko kiuzuli na kiubaya na hata seemu ambayo naweza kupata msosi wa bei chee...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mimi nimesoma DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION,nilipata GPA ya 4.3 na FORM 4 nilipata division 2 ya 21 sasa nimeomba BVM na ANIMAL SCIENCE CHUO CHA SUA,Je kwa ushindani uliopo naweza...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mimi nili-apply MUCE...na nikilog in kwenye account yangu kuangalia selection... Naambiwa sijachaguliwa, Ila kwenye list ya waliochaguliwa MUCE jina langu lipo, nifanyeje wakubwa?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu,ninaomba msaada maana na mimi ni mmoja ya tuliopata multiple selections Kati ya Mzumbe na TIA(Dar) ni ipi inayotoa degree ya Human Resources mgt nzuri
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi kwanza poleni na presha za hapa na pale kwanza naombeni kuuliza hivi kozi ya BAED pale UDSM ni sh.ngapi Je naweza kusurvive kuilipa iwapo nitapata asilimia 0 YA HESLB? MSAADA JAMA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari zenu mimi mwenzenu kuna jamaa yangu alikuwa hapendi Mimi nichaguliwe chuo baada ya kumwambia nimechaguliwa basi hakuwa na amani Lakini juzi nilimwachia simu yangu aingie net. Ajabu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani msaada kwa aliefanikiwa au anaeweza kufanya confirmation mzumbe university tafadhal
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanabodi Mimi natokea kijijin huko KALENGA mkoani IRINGA na nimechaguliwa UDSM lkn tangu nipo olevel nasikiaga kuna sehem panaitwa REVOLUTION SQUARE hivi eneo hilo linahusika na nini? Tupen...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kati ya bachelor of science in social protection-IFM na bachelor oof business management - IAA ipi ina future nzuri?
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Msaada kwa mwenye ufahamu kidogo na hizi kozi QUANTITY SURVEYIN na COMPUTER ENGINEERING................ nahitaj kuchagua moja kat ya hzo(confirmation).... So ipi may be nkichagua ctakuja kujitia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi viongozi. Kwa wale wakongwe wa Pure Mathematics, naomba mtuweke wazi juu ya mbinu za kuimudu na kufaulu Advanced Mathematics Katika michakato mizima ya kusoma ili nasi tutoe...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Ninawapongeza sana wote waliochaguliwa kujiunga na kozi mbali mbali ngazi ya diploma ktk chuo cha UDOM. Hongereni sana sana. Katika kufanya maandalizi kuelekea chuoni ni vyema tukapeana taarifa...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Yaani mmetutoza application fee kubwa 30,000/=. Then mnasema after malipo tu upload bank slip kwenye system yenu ndo mta activate account zetu. Tumefanya hivyo bado account hazifunguki. Hela yetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom