Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hawar ya yote habar wana jf . napenda kuweka wazi suala la hawa wadogo zetu(freshers) kukosa admision ktk first batch. .. unakuta mtu ana ufaul wa kawaida bila kujar kuw kna walio faul vizur xna...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
jamani nimechaguliwa kusoma degree udsm na nimeconfirm kujiunga ktk chuo hicho akini cha ajabu jina langu halipo katika list ya selected applicants katika chuo hicho nifanyeje jaman Nisaidieni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu? Kwa wale mliochaguliwa SUA tu (ambao hamna multiple admissions) mkilog in kwenyea SUASIS mnakuta ujumbe gani? Mimi nakuta Admission process in progress until 30th August. Hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Majina ya waliokosea kujaza form za mkopo yametoka? Au maana hatuewelei tumepaniki huku jamani hatujui hatima yetu.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaejua kuhusu majina ya watumishi tulioacha vyetii vyetu NECTA kwa ajili ya uhakiki Naomba kuyapata. Asanteni ======= Updates Tayari Majina ya rufaa za NECTA yametoka Angalia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Open university wametoa majina ila hawajaainisha wale ambao wana multiple selections! Halafu wametoa majina siku ya mwisho ya ku-confirm! Ina maana hakuna multiple selections kwa waliochaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Za asubuhi wadau, Nauliza kwa aliechaguliwa TIA Mwanza anijuze amefanikiwa kwa namba ipi maana namba zao hazipatikani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UINGEREZA: Wakufunzi wa Vyuo vikuu wabainika kujiongezea kipato kwa kuvujisha mitihani kwa Wanafunzi. ====== University lecturers are topping up their earnings by helping students cheat in their...
1 Reactions
4 Replies
977 Views
Jamani nipo njia panda naombeni msaada course ipi nzuri kusoma kwa kipindi hiki na kijacho kati ya flight operator/dispatch na airport operation/ground operation najua wapo waliopitia huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIJANA wangu ana div 2 ya point 11 katika A level kwa masomo ya CBG, alikosa udahili/ admission ktk vyuo alivyoomba na kuandikwa neno BELOW CUT OF POINT, WENGINE BELOW OUT OF POINT. Je hicho ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Primary School Revision Papers, End Term 2, 2017
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Naulizia shule nzuri za binafsi (Private) za advance kwa michepuo ya Sayansi. Ziwe mahali popote hapa Tanzania.
0 Reactions
43 Replies
28K Views
Samahan wakuu naombeni ushauri maana mpaka sasa hivi sijajua cha kufanya kutokana na kushauriwa na watu ambao hawajabobea katika field husika; Naomba kujuzwa kutokana na soko la ajira ipi nikasome...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bukombe/Dar: Hali ya elimu nchini inaonekana kuendelea kuwa mbaya licha ya ahadi nyingi za Serikali kuiboresha. Mojawapo ya sababu za kuwepo kwa hali hiyo mbaya, inaelezwa ni mazingira duni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shukuru Kawambwa The government is of the view that ‘e-classrooms’ will bridge the shortage of 85,000 teachers needed in the sector and to achieve the goal saying classrooms are evolving from...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Wakuu naombeni msaada kwa yeyote mwenye soft copy (PDF) ya vitabu/kitabu chochote kilichoandikwa na Pastor Chris Oyakhilome anisaidie kwa kutumia either Uzi huu au Pm. Pia kama kuna anayefahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamii forum sijaona tangazo la TCU la vyuo vilivyobakiza nafasi. Inakuwa vigumu kujua wapi uombe na ukitaka kujaribu kila chuo si ni lazima ulipie. Au kuna kitu sijaelewa. Tujuzane tafadhali
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu tusaidiane hata kwa haka ka diploma tulikokapata, mimi nahitaji kubadili kozi kutoka computer science to education, je inawezekana?????
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni Msaada wakuu nina maswali mawili naombeni aliye na uelewa anisaidie 1. Kama nimehitimu mwaka huu Nursing certificate nahitaji kuendelea kusoma mwaka kesho diploma jee inakubalikaa??? Au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom