Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wanafunzi waliochaguliwa vyuo vya diploma na certificate za afya wanasubiri prospectus ili wajiandae na bado hawajui zitatolewa lini na wizara ya afya, au kwa yeyote anayejua kuhusu suala hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi waliochaguliwa vyuo vya diploma na certificate za afya wanasubiri prospectus ili wajiandae na bado hawajui zitatolewa lini na wizara ya afya, au kwa yeyote anayejua kuhusu suala hili...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Habar za muda huu naomba kuuliza je inawezeka kubadilisha coz niliyochaguliwa nikifika chuo nisome coz nyingine nb.Nimechaguliwa bachelor of commerce in tourism and hospitality management
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Samahinini jamani....binamu yangu kachaguliwa kozi ya architecture Mbeya ila anaonekana hakuipenda sana na aliijaza tu kujazia nafasi....imetokea kumnyima raha kiukweli naomba mnisaidie in detail...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 na nilichukua mchepuo wa sayansi na nilipata daraja la pili(division 2) nilichaguliwa kujiunga na sekondari lakin ckuweza kupata wa kuniendeleza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau. Mimi ni mmojawapo wa waombaji wa vyuo mwaka huu, ila kutokea kipindi tumetuma maombi hadi kukaribia selection kutoka mawazo yanatawala kichwani ukizingatia na hali ya maisha ilivyo...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mdogo wangu alilipia mwezi wa pili kurudia mtihani kidato cha NNE 2017,lakini mpaka sasa hajapata uthibitisho wowote ule,msaada wenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu mliochaguliwa na ambao mpo tayari chuoni tujuane kwa kupeana taarifa mbalimbali bila kusahau joining instruction.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mie nimepata nafasi ya kusoma iyo course ya information system udom Sasa naomba ufafanuz kidogo kwa mwenye ujuzi nayo Nataka nijue soko lake la kazi Saada plz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Wadau. Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Za jion wadau,naomba km kuna MTU kapangwa au anasoma tia mwanza kwa ngaz ya bachelor anichk 0767874060
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Wizi kupitia mitandao ya simu ========Sehemu ya tatu ( wakala wanavyoibiwa =============== Habari zenu wadau...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za saizi
1 Reactions
0 Replies
574 Views
Habari wana jf,,, sorry kama kuna mtu analijua shirika lolote linasave mtu may be kumsomesha then anakuja kufanya kazi kwao kwa miaka kazaa,, anasaidie info zao... Coz nimepata chuo china. Sasa...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau wa jf naomba msaada wa maelezo juu ya kozi ya environmental engineering inayotolewa ARDHI UNIVERSITY Je hiyo kozi ni nzuri kwa kujiajiri?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi natambua kuna mengi hujapata kuyajua bado.Katika channel yetu ya Youtube tumeongeza video nyengine wiki huu.Video ni kali sana Usikose kutazama. Tusachi youtube kwa jina la Microfensho au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda tukutane wote wenye qualifications za diploma waliomba vyuo mbalimbali mwaka huu 2017/2018 na either wamechaguliwa au laa pia kama yupo aliyechaguliwa kwa awamu ya kwanza atujuze pia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada mwenye majina ya waliochaguliwa mzumbe (degree) 2017/2018
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza wadau Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom