Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar zenu wana jf Udsm kwenye profile yangu wamenichagua na hawajanipatia option yakuconferm lakn kwenye oorodha ya majna ya waliochaguliwa ama kwenye multiple selection simo Lakn pia udom...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wa JF nahitaji kujua kama inawezekana na kukubarika kwa mwanafunzi ambaye tayari amedahiliwa kwenye chuo kimoja tu,lakini course aliyopata hakulizika nayo.Je na yeye anaweza Ku reapply ???
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale waliokosa nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti,diploma hata degree msipanic, walioapply kwa Mara ya wavute subira pia, wenzangu kama mimi tunaisubiri mwakani tusubiri bila kupanic...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani msaada wana jf kwa ambae anayo joining instruction ya chuo cha TIA ya dar, maana kuna kijana wangu kachaguliwa hapo. Anasema akiingia kwenye website yao wanamletea ya mwaka Jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
2017/2018
0 Reactions
36 Replies
6K Views
habari wakuu ! nimekuwa mdau mzuri wa jukwaa la elimu mara baada ya kutoka kwa matokeo ya vyuo vikuu. katika pita pita zangu nimemuona wervemarcel akijaribu kutupa updates za admissions japo...
2 Reactions
16 Replies
995 Views
Naombeni ushauri kwenye profile yangu ya udsm inaonyesha nimechaguliwa in multiple universities nikaconfirm mapema leo nacheki list ya majina kwenye cozi ya computer science kote kwenye wenye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani na swali kuna list ya majina ya wanafunzi waliokubaliwa na chuo lakini hawajawa approved hyo ina maana chuo hawaendi au
0 Reactions
10 Replies
1K Views
TANGAZO SHULE YA SEKONDARI ARUSHA MODERN CHINI YA UONGOZI THABITI KATIKA KUTOA ELIMU BORA NA NIDHAMU KWA WANAFUNZI, INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA 2018 KWA MITAALA YA NECTA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanangu yupo kwenye kundi la multiple admission kwenye vyuo hivyo, kwa UDSM amechaguliwa B. com in Tourism and Hospitality Management na anatakiwa athibitishe tar. 10/Oct. na UDOM amechaguliwa...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
AVC - Award Verification Code. Habari yenu. Nahitaji kufanya AVC kupitia [http://41.93.40.136:8080/navs/]: Ila kila nikijaribu kuingiza Username & Password inasema haziko valid. Nilijisajiri...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarin wadau samahani waliosomea hiyo fani au wanaojua chochote kuihusu hiyo fani naomba mnisaidie kuna mdogo wangu wa kike ametemwa kwenye application za NACTE anafikiria kuomba hiyo koz mwakani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jamii forum, Mimi ni kijana ambaye nimechaguliwa chuo cha maji ngazi ya stashahada kozi ya Water Supply and Sanitation Engineering mwaka huu. Naomba mchango wenu wa tsh...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi nimejisajili na kufanya application mwezi huu sasa kila ninapo fungua SARIS naambiwa invalid username na password wakati nimeweka vyote sahihi anayejua anijuze tatizo nini
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahani wana jamvi.naomba kwanza nitangulize pole kwa majukumu mliyonayo. Naombeni mnisaidie kati ya hizi kozi mbili niende kuchukua IPI? 1.Bachelor of education in counselling & guidance...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu zangu kuweni wapole vyuo vitawasiliana nanyi kuwapa taarifa juu ya kuchaguliwa kwenu.Zoezi hilo litafanyika mwezi wa kumi hiyo habari ya nacte kuwaambia masomo yanaanza tarehe 25/9/2017 ni...
2 Reactions
38 Replies
8K Views
Ndoto za kufika UDSM kwa wanafunzi wa form six huwa ni zaidi ya asilia 98 kwa wanafunzi wote hizo asilimia 2 zilizobaki ni wale wanafuzi amabao hutarajia kusomea mambo ya kilimo na ufugaji kwa SUA...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari ya weekend wapendwa? Iko hivi nipeni utofauti na maana kwa kiswahili hizi ngazi katika usomaji vyuoni. post graduate degree under graduate degree post graduate diploma na undergraduate...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana mlisema mmefungua dirisha la wanafunzi waliokosa chuo waombe cha kushangaza mpaka leo wakiingia kwenye profile zao hakuna sehemu za kuedit ili waapply upya kozi zenye nafasi na muda unaenda...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom