Jamni naombeni mnisaidie kwa waliokosa vyuo awamu hii ya kwanza je huwa kuna majina mengine ambayo hutolewa maana tunaskia mengi mtaani au ni kuaply tena tu
Mi nmeota labda haya magumash wanayafanya ili MKULU AWAONEE HURUMA ili ajue HUU MFUMO NI MBOVU ili MFUMO WAO WA ZAMANI URUDISHWE waendelee KUPIGA PESA kutoka vyuo dhaifu najiuliza Kwann wasitoe...
Mtao chaguliwa ardhi au udsm Coet jiandaeni maneno ya dhihaka kutoka kwa bibi wa udsm anaitwa madam theresia kama sikosei.
Anavunja wanafunzi moyo balaa ,,ana maneno machafu machafu mpaka utajuta...
WALIMU WAJIONDOA CWT NA KUUNDA CHAKAMWATA
CHAMA kipya cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA) kimesajiliwa rasmi na kupata cheti cha usajili wa kudumu kutoka Wizara ya Kazi...
Habari wana JF, nauliza ni vipi unaweza hama chuo ambacho umechaguliwa lakini hujaridhika nacho kwenda chuo kingine?
Naomba kusaidiwa muongozo wa kuhama chuo kwa mwaka huu 2017/2018
Nataka kufahamu kati ya hizi course zinazotolewa Chuo kikuu cha Ardhi ipi ina maslahi zaid kati ya Land management and valuation na Building economics?
Ndugu zangu samani naombeni msaada. Mrs wangu amehitimu diploma ya ualimu mwaka huu open university na anahitaji kuunga degree na hadi sasa haijajulikana utaratibu ukoje. Tafadhali naomba...
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.
Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.
Kuna uwezekano...
Nilijua lengo ni kupata cream ya wanafunzi kielimu kwa ufaulu, lakini naona hata wale cream wengine wameachwa kuna mtoto wa kike wa rafiki yangu alipata cream hasa ya ufaulu wa sayansi kwa maana...
Kuna mdogo wang amechaguliwa katika iko chuo mapema tu tena katika batch ya kwanza lakni cha kushangaza mpaka leo hakuna dalili ya kupatikana izo form.
Kama kuna mtu alisoma katika iko chuo au...
Natumaini mko poa Wanaforum.
Naombeni ushauri Kati ya Bachelor Of Accounting & Finance na Bachelor Of Accounting ipo ni nzuri zaidi. Maana Nimechanganyikiwa Kidogo Kwenye Kuchagua
I hope...
Napenda kuwakumbusha kuhusu Bodi ya mikopo na TCU.
Mpaka sasa sina uhakika kama TCU imetoa majina ya wanafunzi wa Mwaka wa kwanza na mwezi wa kumi sasa pia kumbukeni Bodi ya mikopo haiwezi kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.