Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sorry wadau naomba mwenye joining instructions ya korogwe techers college 2017/18 naomba atuwekeeee hapa ili tufaham tarehe ya kuripoti.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kujiunga na Chuo cha COTC Mtwara ila wanahitaji cheti cha kidato cha nne na mimi nimehtmu mwaka jana tu. Naomba mwenye kufahamu vyet huwa vinatoka baada ya muda gan...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Wan JF kuna yeyote aliyesoma Makongo high school anijuze ada shilingi ngapi A level....??
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiacha MuhimbilI Nafasi Ya 3. Nimeona Kwenye Top Ranking Universities In East Africa 2017 Heko Mzumbe. Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU...
11 Reactions
131 Replies
17K Views
Mwenye namba za TCU help desk anipatie tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msada jamani kichwa cha habari hapo juu.Ni lini selection za tulioapply mara ya pili ngazi ya cheti zinatoka?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani.. Aliyepata admissio later udom diploma anisaidie ameipataje.. Plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
walioomba nafasi katika chuo cha St.John's waingie katika website ya chuo www.sjut.ac.tz kuangalia yafuatayo.. 1. waliochaguliwa na kuthibitishwa na TCU 2. Walioomba na kuchaguliwa lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfano nimeomba vyuo viwili nikachaguliwa vyote Alafu nikakonfirm chuo kimoja.kuna haja ya kuweka maelezo kwenye chuo ambacho sijaconfirm? Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Wajameni embu tusaidiane hivi ni kweli katika selection hizi zinazotoka katika vyuo mbali mbali je, kuna yeyote anayejua hizi higher learning institutions zitatoa 2nd batch ama ndio 1 st batch tu...
1 Reactions
9 Replies
927 Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa awamu ya kwanza ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 30 Agosti 2017. Tume...
1 Reactions
88 Replies
10K Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka juzi sasa hivi nataka nikasomee account sijui nifanyeje wapendwa? Jamani kweli naombeni ushauri masomo ni magumu sana au nikomae hivi hivi tuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wenye uelewa na hizi kozi ushauri wenu unahitajika 1. Bachelor of arts in economics - ardhi 2. Bachelor of commerce in accounting - udsm 3. Bachelor of banking and finance - Ifm Asome ipi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyoeleza je kati ya hzo course kwa diploma ipi ya msaada zaidi mtaani ukimaliza?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mm nimechaguliwa dsm hapo degree ya art in geograph and environment studies, lakin sua degree ya tourism management. Nishauli kuwa nielekee wapi, and nitaweza kuajiliwa maeneo kama yapi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je ukiambiwa names mismatch ufanye nini ili uendelee kupata nafasi katika chuo husika 2017/2018 au ndo basi tena au ndo uombe tena katika second selection? Uombe udahili wa mara ya pili? Naomba...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Matokeo ya ndugu yangu haya hapa,amekosa nafasi NACTE. Kwa programme na vyuo vilivyowekwa sasahivi hana sifa je afanye nini ili ndoto zake zitimie. CSEE (O' LEVEL) QUALIFICATION DETAILS: SN...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina hili swali la assignment nimekwama kidogo nianzie wapi,na pia nitumie reference zipi ambazo nitaweza kuzichambua vizuri ili kuendana na swali jinsi linavyotaka... naombeni suggestions wakuu.
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Jamani naombeni msaada wa kujulishwa chuo kinachotoa kozi ya air traffic control (atc) hapa Tanzania
0 Reactions
1 Replies
4K Views
1. Naomba mwenye TCU guidebook 2017/18 aniwekee hapa. 2. Diploma in clinical medicine naweza soma pharmacy degree
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Back
Top Bottom