wakuu kuna mdogo wangu anapenda sana kujiunga na hiki chuo... Jina lake lime onekanAa UDSM kwenye multiple selection.... Kati ya course code anazoonekana kuwa amekubaliwa ni DMI02 ambapo bila...
wakuu mada inajieleza, nmechaguliwa multiple selection kwa vyuo viwili course tofaut yaan pharmacy na Veternary medicine, course ipi iko poa zaid na yenye wigo mpana wa ajira, mwenye uelewa mzuri...
Naombeni nisaidiwe tofauti kati ya izi degree programme
Bachelor of industrial engineering ya udsm na bachelor of industrial engineering management ya Mzumbe ili niweze kumsaidia mdogo wangu kwa...
Bila shaka wale wote mliofanya application mwaka huu mnaona usumbufu uliopo tofauti na kipidni cha nyuma mpaka sasa ingekuwa ni wachache tu ambao hawajapata chuo na ni hao tu ambao wangekuwa...
Habari zenu na amani iwe nanyi.Wakuu,nilikuwa naomba kusaidiwa mwanga kidogo juu ya hii. Nilichagua kitivo cha BA of Anthropology pale Udsm lakini sijaelewa inahusu nini hata katika soko la ajira...
Kwanza nawasalimu wote na ninawatakia weekend njema.
Back to the topic.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu taaluma hizi mbili zenye mvuto sana, hasa kwa vipanga wengi ambao huziota...
Habar za mudaaa huu wakuu...
Nimechaguliwaaaa IFM kusomaaa BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION..
ina deal na nin hasaa... Nahitaj ufanunuzi wakui...
Basi wakati Niko kwenye daladala moja kwenda kwenye mihangaiko ya kila siku, nipo kwenye siti ya dirishani ninaangalia nje kuwaza mambo mbalimbali Akaja mtoto mmoja mdogo tukawa na mazungumzo kama...
Habari ndugu zangu.
Nina mdogo wangu aliyemaliza form six aka-apply diploma ya Law na Procurement and supply katika vyuo viwili tofauti. Kote amechaguliwa, sasa nataka tumshauri
= ipi ni nzuri...
Ndugu zangu nina tatizo moja ambalo katika maombi yangu ya mkopo ambapo nimeshauriwa njia nzuri ya kulitatua ni kwenda makao makuu ya HESLB.
Tatizo lenyewe ni kwamba nilituma cheti ambacho...
Habari za asubuhi.
Nimemaliza diploma ya sheria nikaomba vyuo vitatu, ila nimechaguliwa UDSM peke yake BBA. Naomba mtu aliyesoma BBA UDSM ama yeyote mwenye uelewa kuhusu hii course anisaidie...
Natanguliza shukrani kwa mwenyez Mungu
Kisha kwenu wana jukwaa
Ninaomba msaada kwa mwanajukwaa wenye ufahamu juu ya hili jambo,
Nimechaguliwa chuo kikuu cha dodoma [bachelor of arts in...
Kwanza kabisa nawakaribisha chuo kikuu cha ARDHI. Aminini mmechagua sehemu sahihi ambayo wachache hupata fursa.
Lakini chuoni kuna uhaba wa malazi,unapokuja kichwani uwe unajua hilo.na huenda...
Kuna baadhi ya kozi pale mzumbe husoma kwa kupokezana. Yaani wengine wakiwa chuoni, wengine wanakuwa likizo, kisha waliokuwa chuoni wakienda likizo, ndipo waliokuwa likizo wanarudi chuoni. Je kwa...
Hii ni kwa ngazi zote certificate, diploma na degree. Unakuta kila chuo kinanng'anng'ania mwenye division one/two na ukumbuke mwanfunzi x anayechaguliwa kwa sababu ya ufaulu wake mzuri, ndiye huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.