Habari wakuu...
Zikiwa zimebakia siku 6 kwa mujibu wa NACTE kutoa majina kwa waliochaguliwa kusoma cerificate na diploma kwa vyuo vya afya....
Lengo la kuanzisha thread ni kwa mambo makuu...
Wakuu, maneno mawili ya kingereza hayo kwa tafasili isiyo rasimi ni "SHULE YA KIHINDI". Je! Katika zama hizi bado kuna shule za namna hiyo ambazo ni dhahiri zina viashilio vya ukabila?
Shule...
Wana JF,
Tumejadili vitabu tulivyosoma 2014, wengi wetu tuna muda mchache wa kusoma na tungependa kuutumia muda huu vizuri kwa kusoma vitabu vizuri.
Ningependa kujua mngependa kusoma vitabu gani...
Habar wana JF,
. napenda kufaham kwa kina kuhusu course itolewayo UDSM ambayo ni BA in law enforcement. Pia ina utofaut gani haswa na B of law.
nawasilisha wadau wenye uelewa kwa hilo
Ndugu wanajamii forum Nina ndugu yangu amechaguliwa chuo cha afya Kilimanjaro ,kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamu kuhusu ufadhili wa wanafunzi wa diploma za afya..inakuaje kwa aliyepitia...
Mimi ni mhanga wa kutafuta chuo bora ambacho naweza pata chuo chenye ubora na unafuu nipo mwanza sasa mazingira ya kazi yamenibana ndiyo maana nikaona nije hapa jukwaani nipate ushauri though...
Habari yenu wakuu!! wakati huu tukisubiri kutumiwa kwa joining instruction ya dental Laboratory Technology Muhimbili, ningeomba tupeane experience kidogo kwa wale ambao ni wazoefu kwa ngazi ya...
Nimeleta kwenu wakuu wa jamvi.
Kuna rafiki yangu wa karibu na kama dada yangu tokea jana analia kabisa kakosa chuo, anacholalamika yeye anapoint 11 kapata div2 kamaliza Hkl lakina aliomba UDSM na...
wakuu nilikuwa naangalia TBC1 habari mda huu, Waziri wa elimu prof. Joyce Ndalichako ameyasema hayo maneno kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Saizi bado mchakato unaendelea subra ni kitu cha...
Yaani kama una hasira unaweza pigana na watu kabisa!
Utakuta mtu amekaza hadi shingo kwamba CUHAS ndo chuo bora, mwenzake wa upande wa pili naye amekomaa MUHAS ndo chuo bora, huku kwa wenzangu...
Habari Wandugu poleni na majukumu nimeamua kuanzisha ukurasa huu kwa wale waliochaguliwa Rucu kupeana updates mbalimbali zikiwemo za suala la makazi huko chuoni tunakokwenda, kujenga udugu kwa...
NDUGU ZANGUNI ,NAOMBA MSAADA JINSIYA KUAPPLY SECOND ROUND ,JE TUNAINGIA KWENYE CHUO HUSIKA KWA KU LOG IN KAMA MARA YAKWANA AU KUNAJINSI MPPYA..... PIA NIMEINGIA VYUO VIMEFUNGA ADMISSION ,WAKATI...
Salaam wakuu, ni kweli kwamba elimu ina majina mengi mazuri na ya kuvutia sana, lakini hakuna tena uhalisia wa hayo maneno kwa sikuhizi.
Daah hakuna hatua yenye nafuu walau kidogo yaani kila...
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.