Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Zamani Vyuo vingi vikuu vya kufundisha udakaktari vilijengwa ndani ya hospitali kuu (za rufaa) kama vile Muhimbili, KCMC, na Bugando, na vilikuwa vinafundisha wanafunzi wachache sana. Lakini hivi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Wanafunzi wa siku hizi wapo busy na mambo yao ya ajabu ajabu ambayo hayaendani na Masomo, hivi mwanafunzi unashindwaje kufika 40 au 50?
2 Reactions
269 Replies
31K Views
Wana Jf nijuzeni kuna ukwel aliyesoma private hawez kupewa mkopo maana naitaji niende private nikimalza 0 leval mwaka huu.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Hii quantity survey ndo inahusu nn na pia ajira yake hapa nchini ikoje?
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Kwa wale certificate na diploma walioanza kuripot pale mwl nyerere memorial academy tujuane umuu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nisaidien Mimi kila nikiingia kwa profile inagoma inaniandikia password sio najaribu kureset nyingine lkn password mpya inanigomea tatizo nini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale walio pata nafasi ya ordinary diploma in clinical dentistry njoo tufahamiane.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin ndugu, kwa walio chaguliwa ordinary diploma in clinical dentistry Tanga. Tufahamiane na kwa wakubwa zetu je hicho chuo ni kizuri kwa mazingira na hata elimu itolewayooo? Kwa mwenye uelewa...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Nimeona orodha ya Vyuo kutoka TCU ambavyo vimeruhusiwa kudahili wanafunzi wa Undergraduate kwa mwaka wa masomo 2017/2018.KIU sijakiona.Je,hakikidhi viwango vya kutoa Shahada ya Kwanza? Nina...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Habar wakuu ,napenda kuuliza kozi ya agribusiness and economics katika soko la ajira pia sehemu atakapo ajiriwa
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Mdogo wangu ameandikiwa multiple selection kwenye profile yake na kwny majina ya waliochaguliwa jina lake halipo. wala hakuna sehemu iliyoandikwa confirm.nifanyaje hpo naomba ushahuri
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti ni kweli hata kwa wanatarajia kusoma diploma katika vyuo vya serikali kama vile teaching college ni Ruksa kuomba mkopo....mawazo please!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Namba za clinical medicine training center ya Mtwara....tafadhar alonayo naomba
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TANZANIA na Hungary zimesaini mkataba wa miaka mitatu wa ushirikiano katika sekta ya elimu, huku Hungary ikiongeza nafasi za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kutoka kumi hadi 30. Hafla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakua nauliza, ikitokea umejiunga open baada ya muda kabla ya kuanza masomo ukaomba kuahirisha kidogo, je ukitaka kuendelea sasa una haja ya kujisajili tena,? Au unawaarifu tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina BA nataka nisome Masters of business administration mwakani naweza kupata chance chuo gani kwa urahisi!?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Akimaliza masomo anaweza kuajiriwa kama nani ? na ina manufaa mapana ??
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Urafiki kati ya Mshumaa na Binadamu kidogo ni urafiki wenye kutia mawazo mengi na viulizo vingi kichwani..? Maana urafiki huu wa binadamu na mshumaa hutokea tu pale ambapo giza huingia, wakati wa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nashauri baadhi ya wakufunzi wa vyuo vya elimu za juu watumie JamiiForums kama moja ya materials ya kujifunza kwa wanafunzi wao au wao wenyewe maana naona imekuwa kama google nowdays kila...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom