Ndugu zangu wanabodi, kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana katika suala hili la mikopo ya elimu ya juu. Na hii ni kutokana na ukweli kwamba waombaji wa mkopo mwaka wa masomo 2017/2018 hawajui la...
Wazungu walituletea msemo 'if you fail to plan, you plan to fail' mwenzenu nilishindwa kuplan, japo ninajipa tumaini kuwa it is never too late, nina tumaini nitarekebisha kwa namna moja au...
Chuo cha ualim kleruuu kinaongoza kwa michango isiyo na tija.Michango imekuwa mingi na kupelekea kero kwa wanafunzi.Waziri mwenye dhamana please jitahidi ushughulikie tatizo hili kwani imekuwa...
Mfano wake mie hapa kwa mala ya kwanza 2012 nilimaliza na kupata four ya point 29
Kama ifuatavyo.
Civic D
Geog D
Phyc D
Chem D
Biolog D
Kiswa. D
History F
Englis F
Mathe F
Mara...
Habari zenu wakuu katika jukwaa la elimu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili nilifaulu kidato cha nne na cha Sita nikisoma sanaa mpaka sasa nipo chuo.Niwe mkweli mwanzoni nilisoma...
Wakuu naomba kwa wanaofahamu vizuri uzuri wa hii course mtaani kwa soko la ajira au kujiajiri.
Na je kati ya hiyo Pharmaceutical na Medical Laboratory ipi ina solo zuri kuajiriwa au kujiajiri.
Asante
Breaking news
Jocye Ndalichako afunguka makubwa kuhusu utoaji wa mikopo mwaka huu wa masomo 2017/2018
Amesema kwamba kuna wafanyakazi bodi ya mikopo kama miungu watu na wanamajibu machafu
Pia...
Hayatoki leo:::post hii ina lengo la kuwajulisha wale wote waosubiri selection za vyuo vikuu kuwa tayari TCU wamesha hakiki na kuthibitisha majina ya waliochaguliwa(Selected applicants) na mpaka...
Mimi nmemaliza form four 2014 ,nataka mwelekeo maana nllibahatika kwenda advance lakini mambo yakawa mabaya ivo nmeambiwa ntumie cheti cha form four ,namatokeo ya form four ni haya
HISTORY -...
Nyie mnaohuska na udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu mnanitia hasira sana hivi hamjui kama jana ilikuwa tarehe 2?
Niliunga bando la masaa 24 sasa linaelekea kumaliza muda wake na bado mpo...
Mimi nimechaguliwa chuo cha MNMA nimeenda kufanya registration na namba nimepata lakin Mara paa TIA wao wakanichagua Sasa nataka nitemane na MNMA niende TIA je kuna uwezekano huo? Hali ya kua...
HABARI ZENU WANA JF WENZANGU.
Mfano mimi nina degree ya ualimu wa sayansi yani BSc with education (chemistry&biology) naweza kubadilisha taaluma kwenda sekta ya afya kama MD, Bachelor of pharmacy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.