Habari zenu wakuu... Eehe bhana kuna changamoto moja inanikabili.. Ni kuhusu ule mkopo wanaotoa kwa wale wa diploma za CLINICAL MEDICINE. Ishu iko hvii unaingia mkataba na serikali baada ya...
Naomba kujuzwa majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu yanawekwa kwenye site za vyuo walivyoomba,au TCU je kama yanawekwa kwenye site za vyuo walivyoomba je yanawekwa kwenye profile walizofungua...
Habari wadau,
Naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!!
Nataka nimpeleke mtoto wangu ana miaka 4 na nusu...
Mo Scholars Program
The Mo Dewji Foundation is calling all first-year undergraduate students to apply for a fully-funded scholarship scheme. Students must be accepted to the University of Dar Es...
Kwenye ukurasa wa Facebook wa chuo wameweka picha za matukio mbalimbali ya kumuaga mkuu huyo huku picha hzo zikiwa hazijawekewa maelezo (caption) lakini kuna page za baadhi ya staff wamepost huku...
Hawa jamaa pamoja na kelele zote lakini kwa miundo mbinu kwa kozi za afy wamejipanga sana.Maktaba,maabara,walimu wa kutosha japo naambiwa wengi sio Watanzania na madarasa ya kutosha sikuamini...
Habarin wanajamvi.
Poleni na majukumu ya kila siku kama ilivyo ada kujitafutia riziki ili mkono uende kinywani na watoto waende shule.
Ushauri ninaotaka kuutoa kwa vyuo vikuu n kwamba wanafunzi...
Chuoni kuna maisha magumu sijawahi ona, nimechukua muda mrefu sana kumaliza chuo kwasababu ya sababu hizi;
1.UBABE, malecturer ni wababe hatari na mimi nilikuwa sipendi kabisa kuonewa, anataka...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, kuomba vyuo sio kwamba ndio utachaguliwa unaweza upate au usipate chuo ikitokea hivyo usikate tamaa angalia plan B inasemaje.
Maana kunawengine...
Zikiwa zimebaki siku 6 majina ya waliochaguliwa kusoma undergraduate programs katika vyuo tofautitofauti kutangazwa rasmi,
Napenda kutumia thread hii kuwakaribisha applicants wenzangu kutoa...
Wakuu naombeni kuuliza kuhusu hili....
Kwa chuo cha UDOM kama umechaguliwa katika diploma in information technology management unaweza badili kwenda nursing au laboratory
[4/27, 21:22] dj massawe: A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya.
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara...
Nianze kuwakumpongeza MO kwa kuamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wenye uhitaji kwa watakaochaguliwa UDSM na SUA. Nadhani amechagua vyuo hivi kwa kigezo cha sifa nzuri kwa vyuo hivi lakini pia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.