Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu, Naomba kwa yeyote anayejua mahali ninapoweza kupata class review iwe imesajiliwa au hata mtu binafsi mwenye CPA au ACCA maeneo ya Sumbawanga mjini aniwekee contact hapa ili niweze kudiscuss...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza ada ya shule ya sekondari jitegemee Dar es salaam ni kiasi gani kuna ndugu yangu anahitaji kujiunga hapo kidato cha tatu
0 Reactions
20 Replies
20K Views
Wana jamii forum hivi katika kuomba vyuo mbona vyuo vilivyoonyeshwa kwenye guidebook katika kuomba mbona vinatokea vyuo vichache. Mfano, kwenye guidebook upande wa afya kuna chuo cha nesi bugando...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasikia Maprof wa The Udom aka Vilazer wamemind kinyama. Serikali ya Wanafunzi Udom imepiga marufuku bidhaa za MO kuuzwa THE UDOM [emoji23] [emoji12] Udsm Home of VIPANGA
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi. Kuna kijana mmoja jirani yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2011. Na matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo 1-CIVICS-D 2-HISTORY-D 3-KISWAHILI-C 4-ENGLISH-D 5-GEOGRAPHY-D...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Follow this link to join my WhatsApp group: Kitangali teachers colleg
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Kama wewe ni mwalimu tupia namba yako ya simu hapa ili uunganishwe na group la whatsap nchi nzima, ambapo pamoja na mambo mengine utapata kunufaika na yafuatayo:- 1.kupata nyaraka mbalimbali za...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Natafuta wa ku discuss nae CPA foundation level nipo maeneo ya Ngudu kwimba mwanza. haya mambo bila discussion hayaendi kabisa.....
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Ivi kuna diploma ya pharmaceutical science na diploma ya Pharmacy...???
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari, mara ya kwanza niliomba upande wa Kada ya Afya na Sikuchaguliwa kutokana na Ushindani mkubwa, sasa nimebadili kada na kuomba ualimu, LAKINI wakati nabadili kada "SYSTEM" ikanambia...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Habari zenu wana jf... Nimesoma CBG na kupata Chemistry S, biology E, Geography E nimeapply diploma ya kozi za afya nacte hawajanichagua coz physics O level Nina E nataka niapply za kilimo na...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba msaada wa namna ya kupata au kusoma online masters ya engineering sana sana electrical au ICT. Anae fahamu namna ya kupata chuo na gharama zake.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanabodi kwanza poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, nimejitokeza mbele yenu kuomba msaada wa kupata material ya shule za sekondari(O'leval na Advanced), ya aina yoyote uliyonayo, pia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hiv ukipata sapu au ukicarry g.p.a yako inashuka?? na je hvyo vitu viwili i mean hyo sapu na kucarry vinaweza kusababisha usipate kazi ama kuajiriwa?? Tuambizane wadau
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Amechaguliwa kujiunga na master's degree, ni yule matokeo yake yaliyoibua utata mwaka uliopita
7 Reactions
209 Replies
40K Views
Chuo cha Maji kinatangaza nafasi za Kozi za Muda Mfupi (Short Courses) mbalimbali zinazotolewa hapa Chuoni kwa mwaka wa Masomo 2017/2018. Kila course ina gharama yake na ina muda wake wa kusoma...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
jamani naomba kuuliza ni chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ubora kabisa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu ndg zangu Naombeni link ya kupata Orodha ya majina kwa waliochaguliwa kujiunga Na chuo cha Mwalimu Nyerere Dar es salaam nimeona tangazozo lao TBC wakidai wao tayari...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Napenda kutumia fursa hii kuyaongelea machache kuhusu chuo cha UDOM na pengine wengine wataongezea yale ambayo nitakuwa nimeyaacha lakini pia maswali yanaruhusiwa kwa wale wageni na wengine...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom