Wadau,
I was reading through the TCU "Quality Assurance General Guidelines and Minimum Standards for Provision of University Education in Tanzania" second edition, and found some interesting guide...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mwenye kujua(uelewa) juu ya degree za nje ya nchi (nikiwa hapa nyumbani)na jinsi zilivyo (hapa namaanisha faida na hasara zake pamoja na ugumu wake) ili nipate...
Salaam Wakuu.
Natafuta Abroad/Overseas Education Agency, ambao wanaweza kunisaidia kupata Chuo nje ya nchi,hasa nchi za Nordic na Ulaya Mashariki(Russia & Ukraine) katika Ngazi ya Masters...
Kutokana na idadi ya waombaji kuwa wengi, wale wote waliochaguliwa wanatakiwa kulipa pesa isiyopungua nusu ya ada ya semester ya kwanza kwa ajili ya kuthibitisha uwepo wao, asiyelipa kiasi hicho...
Habar wana jukwaa nina miaka miwili tangu nimalize Certifacate Chuo cha magogoni na nilikuwa na Gpa 2.5....Mwaka huu niliomba kuendelea na Chuo kwa ngazi ya Diploma katika chuo cha Ustawi wa jamii...
Habari zenu wakuu
naomba ushirikiano wenu kama kichwa kinavyojieleza,napenda kufahamu mambo yafuatayo
kozi ya information technology & bussness na ajira yake
vyumba vya kupanga na gharama zake...
History C
Kiswahili C
English D
Geography D
Civics D
Biology D
Chem F
Phyaics F
B/Maths F
Wadau tafadhali mnishauri kwa ufaulu huo naweza kwenda chuo gani?
Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.Mimi ni mgen kabisa hum.
Shida yangu ni kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktari wa meno Tanga ngazi ya...
Wana taaluma nauliza hivi mtu mwenye elimu ya Stashahada ya uzamili katika elimu (Postgraduate Diploma in Education ) anaweza akawa na sifa ya kuajiriwa na kwenda kufundisha shule ya msingi au...
Wakati nafika pale Mzumbe sekondari miaka hiyo, huyu braza alikuwa kaka mkuu. Alikuwa mtu fulani mpenda sifa saanaaaaaaaaaaaa!
Nakumbuka wakati anatuaga ukaka mkuu, alikuja assemble na simu kali...
Naomba mweye kujua profile ya Chuo hapo juu anifahamishe. Kilipo including mazingira ya kujifunzia, ubora wa elimu, malezi ya vijana, graduates wake wanauzika kwa kiwango gani katika soko la ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.