Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za jioni wana JF wote, poleni na pongezi pia kwa kuitumia weekend vizuri...!! Kama kichwa cha habari kilivyo...! Naomba kufahamu, ni kipi...!! Au ni Mazingira gani huufanya Mwezi kuwa Nusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman nimemaliza form6 cbg Nina E bios E chem na S geog o level F maths j je naweza kusoma course gan? Naomba mnisaidie nimeapply nimekosa nacte
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau matokeo ya CPA(T) ya mitihani ya mei yametoka. Mwenzetu nimefaulu na sasa ni CPA(T). Ninafuraha sana yaani Link: National Board of Accountants and Auditors - NBAA
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari ya asubuhi wakuu, Nahitaji msaada wenu tafadhali, naomba kufahamishwa chuo kinachotoa kozi ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti. Mazingira ya chuo ni lazima kiwe Dar es Salaam pia ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Naombeni msaada juu ya hivi vyuo 1..Nkinga health college 2..bumbuli clinical medicine 3..eckernford tanga 4..st john Dodoma 5..ruaha university Naombeni msaada juu ya -ada...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Combination yake ni CBG.. CHEMISTRY F BIOS S,GEORG D,NA MATHEMATICS F. AOMBE KOZI GANI KWA NGAZI YA DIPLOMA? USHAURI TAFADHALI.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Kwa kuchelewa huku kwa confirmation na joining instructions kwa wale waliochaguliwa na baadhi ya vyuo, je kuna uwezekano wa kuanza masomo tar iliyopangwa 25/9?
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kuuliza kwa wale ambao wameomba udahili kwa stashahada na astashahada kwa kozi mbalimbali je wataingia lini chuoni mwaka wao wa masomo unakuwa tofauti na walioingia tarh 25...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwajulisha wananchi juu Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017. Wanafunzi hawa...
4 Reactions
32 Replies
61K Views
Naulzeni kuhusu ajira za kozi hii, nina ndoto za kuapply SUA jamani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Naomba mnisaidie kwa hili. Kwa matokeo haya naweza kupata chuo hata cha private kwa kozi ya nursing? Chem- C Bios- D Phys- D Math- F Engl- F Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Ipo iitwayo FOOD SCIENCE TECHNOLOGY Chuo kikuu mbeya na nyingine inaitwa WATER QUALITY LABORATORY TECHNOGY katk Chuo cha Maji Ubungo...naombeni ushauri ipi inafaaa na ajira zake zina unafuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu niliehitimu mwaka huu, ninampango wa kufungua shule yangu binafsi au kama kuna mtu anahitaji tufanye wote karibu sana. Naomba msaada kwa anayejua mambo muhimu yanayotakiwa ili...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanajamvi, naomba kujua shule nzuri iliyopo Ifakara za private iwe ya seminary ya O level. Kuna mwanafunzi tunamtafutia ili afanye interview apate nafasi ya masomo. Asanteni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni ushauri wataalamu kati ya kozi hizi mbili nichukue ipi.Master of Information Technology in Project Management (IT-Project management) and Masters of Information and Communication...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Habari wana JF Hivi kama umefaulu O-level basic maths kwa D alafu BAM ukapata F ...lakin comb yako una Div 3. Unaweza kwenda course unayotaka na sio uwalimu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya kozi kongwe aru na tanzania kwa ujumla..karibuni sana first year geomatics(land surveying). Tunaitwa wasaka nyoka. Pia watu wa geoinformatics ni wenzenu maana mtashare masomo yote kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Mwenye taarifa juu ya mada tajwa msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom