Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana jf habar zenu..! Mm nlikua naomba kupata mawasliano na mkuu wa chuo chochote cha serikali kinachotoa STASHADA YA UALIMU WA SEKONDARI SAYANSI NA HISABATI. Naomben msaada au mtu mwenye...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hi. Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa kujiunga na chuo kikuu hususa ni Chuo Cha Kikatoliki Mwenge kwani mmefanya uamuzi sahihi na hamtakuja kuujutia kamwe.. Chuo hiki kina mazingira mazuri na...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari wana JF? Kwa wale ambao wanasomea chuo tajwa hapo juu au wamechaguliwa hapo tujuane hapa tujuzane mawili matatu Hata kwa wale ambao wanakifahamu vyema chuo hicho nao wanakaribishwa kutujuza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman nahitaji msaada kwa aliyepata nafasi ya diploma AMO TRAINING CENTER- TANGA jinsi ya kupata joining instructions
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naombeni msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Musoma utalii College Tabora,je ni Chuo kizuri kwelii maana nataka niombe nafasi ya kusomea Diploma ya pharmaceutical science...plz
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wana forum habar zenu Mimi nilienda kuapply pale nit mabibo hv vp kuhusu coz niliyotaja hapo juu ina soko kwa hapa kwetu Tanzania alafu naombeni mnijuze ubora wa chuo kile au mbambalambala tyu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Asubuhi wadau... Nichukuwe fursa hii kuwapongeza wale wote ambao wamefanikiwa kuchaguliwa na vyuo mbalimbali kwa ngazi ya certificate na Diploma( Conglatulation for all selected), hivyo...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanachama wa jukwaa hili leo nimependa kushea na nyinyi kuhusu ishu za shule, kwamba unapojikita zaidi kutafuta elimu ndipo unapoona zaidi elimu nyingine ambayo ni nzuri zaidi ya ile uliyoanza nayo.
2 Reactions
3 Replies
941 Views
Jamani habari ,naomba msaada ili MTU aende form five EGM comb anatakiwa awe na ufaulu upi msaada wenu kwa wale wazoefu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
NACTE wamefungua profile za watu waliokosa mselection round ya kwanza. Changamka please, deadline ni 01/10/2017. Kuna option ya kubadili kada pia. Note ni Ualimu na Afya vyuo vya serikali.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Maelekezo ya wizara yanadai tarehe 25 Sept wanafunzi waripoti kuanza masomo Cha ajabu mpaka Leo nyie wahusika wa vyuo hamtoi join instruction, hivi ndo kusema zinachapishwa Mogadishu au ni process...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanajamii Naomba kwa mwenye kujua shule nzuri ya Islamic(English medium) kwa maeneo ya moshi,Naomba anisaidie kuniunganisha au ikiwezekana anisaidie anuani.Nataka kumpeleka mwanangu
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Habari wanajukwaa naomba kuelezwakuhusiana n second selection za nacte manake nikifanya udahil kwa mar y pili wananiandikia kwamba natakiwa kusubir second selection which can be run so soon
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Mwenye kukijua hiki chuo anisaidie mazingira yake kwa ujumla na kama kuna mtu ana namba za mawasiliano za mtu yeyote anayesoma hapo au anayefanya kazi hapo, nimechaguliwa kwenda kusoma hapo...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
WAKATI mwezi mmoja umebaki kabla ya mwaka mpya wa masomo kuanza kwa vyuo vikuu nchini, - Wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 16,000 kati ya 61,000 walioomba kupata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu samahani eti kwa Tanzania hapa ni chuo gani kinajitahidi kutoa Llb nzuri kwa miaka ya hivi karibuni?
1 Reactions
133 Replies
26K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujuzwa kama MATI wametoa selection tayari. Mwenye kufaham anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu wana jukwaa.. Naombeni msaada kwa yyte anaekifaham chuo hiki hasa kwa diploma za afya.. Ubora wake, ada, na mazingira kwa ujumla.. Nitashukuru kwa detail yoyote utakayo share na mimi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mm nataka kujua HV chuo cha usafirishaji kilichopo mabibo washatoa majina ya waliioomba kujiunga na coz ya logistics and transport management ngaz ya cheti
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom