Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private sponsored...
Imekuwa ni kama naaminishwa kitu kisicho sahihi kabsa kuhusu Ethiopia na liberia.
Sababu za nchi hizi mbili kutokutawaliwa zimekuwa zikinifanya nistaajabu kila mara Et zina milima yenye mawe mengi...
Waziri Wa elimu ingilia kati hill suala La nacte kuchelewesha kuingiza matokeo ili kupata NAVS kwa wanaotaka kuendelea na masomo ya juu,wanachelewesha na Siku zinaisha na zaidi unakuta wanafunz...
Wasalaam, ndugu zangu.
Nashindwa hata nianze vipi. Japo naamini, mwaweza nipeni msaada na tulizo.
Nime apply kujiendeleza kwa gazi ya Shahada mwaka huu. Hapo mwanzo nilikuwa na Stashahada na...
jamni sio Mara ya kwanza kuuliza swali hili japo mwanzo sikupata majibu naombeni kujua kozi ya community health INA fikia kikomo level gani jamn ama ni certificate tyu au INA fika mpka...
Wakuu naombeni mwenye uelewa wa taratibu za kurisit anijuze kwasababu nataka kurisit masomo ya sayansi PCB pamoja na B/mathematics lengo ni kuja kuapply clinical medicine hapo baadaye katika hayo...
Kwa mwenye uelewa naomba kufahamu kwa hapa kwetu vyuo gani wanatoa kozi ya food & nutrition kwa level ya bachelor wanahitaji vigezo gani. Mwisho Wa kuwasilisha.
Wakuu mambo vipi habarini za usiku napenda kuuliza hivi mbona joining instructions mpaka saiz hawanitumia kwenye profile yangu ili nianze kujiandaa mapema maana hali sio shwar kwa mambo ya daddy...
Habari zenu wanajf.....samahan napenda kuuliza hivi kozi ya health information science inahusu nini yani mtu aliyesomea hii kozi anafanya kazi gani hospital,salary yake ikoje na vipi kuhusu...
Natanguliza shukrani jamani kwa yeyote mwenye taarifa ama msaada wowote ule utakaofanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma nje ya africa. Nimesoma shahada ya elimu masomo ya sayansi na nina GPA...
Habari wakuu...
Mtoto wa maskini mimi nimejitahidi kufanya vizuri kwa matokeo ya form four na vigezo vyote vya kusoma course za afya ninavyo...
Japo kwa idadi ile ya watu walioapply course za...
Anasoma shahada ya Uhandisi wa mitambo(Mechanical engineering) lakini anataka aache na kwenda kusoma stashahada ya kilimo(diploma in general agriculture) au umwagiliaji(diploma in irrigation) kwa...
Kati ya gamba (cheti) na elimu, ukiambiwa uchague moja, utachagua nini?
Siku hizi walio wengi wameanza kuchagua elimu. Cheti kinakuwa ni kikolezo tu. Ndio maana walio wengi wanatekeleza kwa...
Wakuu niliomba diploma ya ualimu kupitia NACTE, leo nimeangalia nimechaguliwa .Ninachoomba ni msaada kidogo wakuu kwa atakayeguswa maana niliyekuwa nategemea amepata matatzo.
Naomba nisaidie hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.