Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu Nacte wameshanitema siwezi kuwalaumu kwa kuwa wamenipa sababu za kutosha na nimewaelewa ila nimeambiwa kuna second round japo sina tena imani nayo kama nitapita Wakuu swali langu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, naomba ushauri kuhusu koz ya kusoma, Nina Elimu ya kidato cha iv 2016 baada ya kutochaguliwa kwenda kidato cha V lkn bado Nina ndoto za kujiendeleza mpaka chuo kikuu. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina D ya phys D ya chemia, bios C, Engl C, maths F, Engl C, Kiswa D, na mengine yaliobaki D. Je ninaweza kuapply advance kwa masomo ya sayansi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Samahan wakuu naomba msaada kwa wenye ujuzi Mimi nimepata nafac ya chuo cha bulongwa na course ni dental therapy diplom sa najiuliza iko powa maana kunachuo kingine pia walinikubalia clinical...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Ruaha. Na pia ni mdau wa maendeleo ya elimu nchini, hususan elimu ya juu. Tukijua ya kwamba, wanachuo wengi ni vijana ambao...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Najaribu kulog in nacte lakini naambiwa username na password hazimatch Nimejaribu kureset password nimeelekezwa niwape mpesa payment code iliyotumika kufanya application, hii ilishapotezwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hapo sijaelewa je atasoma chet au dip mana kuna certfcate/diploma
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Naomba kuuliza kati ya kozi ya nursing na kozi ya civil engineering ipi bora kwa soko la sasa katika ajira hapa Tanzania? Naombeni msaada kwenu ipi ni bora natanguliza shukrani.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu natanguliza shukrani samahani doctors naomba nisaidieni kwa ushauri nikasome ipi kati ya diploma ya dental therapy na diploma ya clinical medine samahani kama nitakua nimeenda kinyume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za Weekend Wakuu, Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anaesoma Shule ya Sunrise iliyoko eneo la Mikocheni pale Morocco unaingia ilipo Hospital ya AAR jengo la tatu kutokea pale. Shule hii kawaida hua ina...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Poleni na majukumu mie na mmoja nilieomba diploma baada ya kutokidhi vigezo vya TCU hivyo naombeni tuje tupeane ushauri humu ndani.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Kati ya Pilot na Engineer ni nani mwenye mshahara mkubwa na ni ipi kati ya izo kazi yenye heshima Nawasilisha mada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu: Me Nimesoma arts secondry, sasa nataka nianze kusoma certificate mwaka huu kila nikifikilia course gani nikasomee Naambiwa kuna ugumu wa ajila, Asa KwA course za arts...
0 Reactions
26 Replies
18K Views
Nnashamba pwani hekari 2 nataka kulima pine plant (coniferophyta plant) kwa ajir ya uvunaji wa mbao je vipi hali ya hewa ya pwani(mkulanga kijiji cha jaribu)
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Kwa wale waliofanya supplementary exams..matokeo tayari kimbia ARIS haraka sana
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na TCU, majina ya wanafunzi watakaokuwa wamedahiliwa katika vyuo vikuu mbalimbali yatatoka rasmi tarehe 2/10/2017. Lakini vyuo vitafunguliwa tarehe 30/10/2017...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Awali ya yote natanguliza shukran za dhati kwenu .Ninaomba mnisaidie hivi degree ya ualimu kwa upande wa sayansi na kusoma diploma katika kozi za afya ipi ni bora zaid tukiangalia kwanzia maslahi...
2 Reactions
42 Replies
13K Views
Wadau naomba mtu yeyeto anaeweza kuyaweka hapa jamii forum majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na st johns university of Tanzania kwa mwaka huu 2012/2013 ayaweka hapa jamvini.Selection imetoka...
0 Reactions
19 Replies
31K Views
Naomba msaada wa kufahamishwa ni njia ipi mtu unaweza pata nafasi ya kusomea ualimu wa vyuo vya ufundi...au kusomea au kupata ujuzi wa fani za veta mfano civil...electrical.... plumbing...au agro...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nisaidieni jinsi ya kuseti google settings ya kweny smu
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Back
Top Bottom