Habari za muda huu, naomba kuuliza kuna mdg wangu jina lake lilitoka kwenye list ya wanafunzi watakao pangiwa kidato cha tano au chuo awamu ya pili, lakin second selection zimetoka hajapangiwa...
Nimemaliza digrii ya Habari yapata Mwaka sasa bila kiajiriwa (nafanya ujasiriamali). Kiu yangu ya kujiendeleza kielimu imenipelekea kuamsha dhamira ya kujiendeleza kielimu katika vyuo vya nje...
wadau naombeni msaada kuhusu hizi carrier mbili medicine au pharmacy ipi wewe utaiprefer, ipi ndo utamake more money regardless on the time you spent on working
Morogoro.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko katika mkakati wa kuhakikisha shule zake zinakuwa kitovu cha masomo ya sayansi kwa kutumia vifaa vilivyopo maeneo ya kambi za jeshi hilo nchi...
Nachukua nafasi hii kuelezea wanajamvi masikitiko yangu juu ya kitendo chao cha kuchukua ada yangu ya 9000/= uhakiki wa vyeti bila kurudisha majibu.
Mnamo tarehe 4 nilituma maombi ya kuhakiki...
Mtoa matangazo ya biashara na mwanasiasa wanafanana katika jambo hili:
Wote wanatafuta ku-hack mfumo wako wa kuwaza ili wapandikize software mpya itakayokufanya uwe unawaza kivingine kwa faida...
jaman nataka kusoma community health ya certificate je nikimaliza naweza kuendelea kwa kozi IPI yeye maslahi makubwa na kipaumbele zaid nisaidieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa Somo la Siasa/Uraia linafundishwa tokea shule za msingi. Kwanini somo la ujasiriamali lisifundishwe mashuleni kumwandaa mwanafunzi na maarifa ya kujiajiri? Wadau toeni hoja
Wakuu salaam kwenu.
Nilikuwa nahitaji kufahamu kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mbeya(MUST),kwenye website ya chuo wameweka majina ya...
Kwanza kabisa napenda kutanguliza salaam zangu kwenu wote, mimi nimemaliza bsc agricultural economics and agribusiness nataka kujua kuwa ni vigezo vipi ambavyo unatakiwa uwe navyo kwa mtu ambaye...
Hello minatafuta shule ya wasichana tupu ya hapa dar yenye boarding ya dini ili mwanangu nimpeleke mwakani darasa la tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli hiki chuo ni cha serikali kina matatizo mengi sana chuo hakika library ya kutosha wanafunzi wanatumia vitabu vya O-level and advance kujisomea wakati ni wanachuo wanaosoma shahada hivyo...
Wakuu...
Nakumbuka siku ya kwanza naanza form one sikulala na nilivaa nguo za shule usiku huo huo??
Siku ya kwanza advance nakumbuka nilitoka bwenini na kwenda darasani nikiwa na begi na...
Poleni Kwa uchovu wa mihangaiko, watu wangu kaka zangu na Dada zangu,
Kwa wale tuliosoma O level shule za kata tukapambana mpaka tukafikia hapa tulipo najua tumepitia Magumu Sana na Haya elezeki...
Heshima kwenu wakuu,
Naomba kuingia kwenye maada moja kwa moja Eti kunauwezekano kwa mtu aliye disco mtihani wake wa mwisho chuoni akarudia mwaka mmoja huo alio disco na kama kunauwezekano je ni...
Wakuu nawasalim na kushiriki nanyi katika maombi maalum kwa ndugu yetu lissu aliyeshabulimbuliwa nasikia na watu wasiojulikana,dah inauma sana. Nirejee kwenye hoja yangu, naombeni mwenye uelewa na...
Wakubwa naomba kujua kuwa mtu kama akisoma yale masomo ya secondary ya miaka 2 ali maarufu kama QT vipi akifaulu anaweza apply chuo coz yoyote ile ama kuna baadhi ya coz ndo itatakiwa asome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.