Wakuu heshima kwenu...naomba msaada wa ufahamu wa shule nzuri ya O-level kimazingira na kitaaluma ya private kati ya mkoa wa Arusha /Moshi...iwe na sport coz dogo anapenda football sana...iwe ya...
Kufuatia uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo unaofanywa na RITA ambao unawataka wanafunzi wote kutuma vyeti hivyo kwa njia ya mtandao hasa kwa wale waishio wilaya tofauti na...
Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Courses mbalimbali katika ngazi ya Diploma kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 yametoka. Tafadhali tembelea website ya Chuo uweze kuona...
Habari wakuu....
Wakuu najua humu ndani kuna wadau wanasoma vyuo mbalimbali nchi za nje full scholarship..
Naomba mnisaidie vitu vifuatavyo...
1..je ili uweze kupata full scholarship...
Ndugu zangu, watu wengi tunapenda kujiendeleza kimasomo, yaani elimu ya juu. Hivi hakuna organization tofauti na loan board inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo au mtu ambae mtaingia nae mkataba...
Wanabodi nilichokigundua Leo watanzania 99% matumizi ya mitandao ya kijamii Ni zero elimu ya haraka inahitajika kuokoa jahazi maana tunakoelekea siko. Ukiangalia nyuzi nyingi humu inatia aibu...
Mimi nimemaliza form four mwaka 2016 hivyo nimepata four ya 29, nimeishafanya application ya community health.
Je kuna diploma kuhusu community health naomben radhi kama nitakuwa nimekosea...
Heshima zenu wana JF.
Katika harakati za kuendelea kukomesha tabia ya ubadhilifu wa Mali za umma mnamo tarehe 13 mwezi wa sita katika Bunge la serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam...
MUHIMU.... ni lazima uwe na programu ya telegram kwenye simu yako au compyuta yako ili uweze kujipatia vitabu mbalimbali kama
-Magazines
-Comics
-Novels
-Educational
-Ebooks
-Audio_Books
link...
Wakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+...
Habari wandugu.
Kuna mshikaji wangu yuko Rukwa, kaniomba ushauri kati ya vyuo hivyo viwili asome kipi ngazi ya masters degree.
Nimeangalia prospectus zao vyote vina collaboration programs na...
Pamoja na serikali yetu kujitangaza kufanya vizuri hasa katika viwanda na kuleta uwajibikaji wa watumishi katika taasisi mbalimbali, ni serikali hiyo hiyo imeshindwa kuwajali watumishi wetu...
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 03/07/2017, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th...
Bodi ya mikopo elimu ya juu yatakiwa kutoa majina mtandaoni ya waliokosea kuomba mkopo,ili wafanye marekebisho ,ili kutoa fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata mkopo, hayo yamesemwa na kaimu...
Naomba kuuliza juu ya taarifa iliyotolewa na tamisemi kuhusu wanafunzi ambao hawakuchaguliwa kujiunga kidato cha tano. Je ni ipi tarehe ya kuanza kutuma maombi ya vyuo na tarehe ya mwisho ni lini...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada kujua mazingira ya shule ya Tarime secondary, maana nlichaguliwa 2nd selection kwenda kwenye hiyo shule.
Natokea Mang'ola Arusha na sijawahi fika huko, Mwenye...
Wadau hii mitihani ya kuchagua majibu kuanzia swali la kwanza hadi la mwisho inanipa wasiwasi juu ya ubora wa huu wa upimaji.
Wakuu mnalionaje swala hii juu ya kumaliza elimu ya msingi? Nafikiri...
Habari zenu wakuu
Kama title inavyo sema naomba msaada kidogo jinsi yakupata material mtandaon kama past papers na notes especialy advance level, kama kuna website nisaidie. Nihayo tu
Asubuh...
Eti jamani haya matangazo ninayoyaona mitandaoni na kwenye websites kuhusu scholarships yana ukweli ndani yake au wengine matapeli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.