Methodology
With more data from more institutions, 2018 rankings give a bigger picture than ever before. Here they explain the methodology that underpins the tables.
The performance indicators...
Habari,
Naomba kama unajua chuo kizuri kinachotoa kozi za Clinical Medicine( Clinical officer) au Laboratory Technology kwa hapa Dar es Salaam.
Niambie ni kipi na kipo wapi ikiwezekana na contact...
Tangu nimehitimu darasa la saba miaka kadhaa iliyopta mpka leo hii sijawahi kusikia hii mitihani ikifanyika siku tofauti na JUMATANO japo tarehe ni tofauti lakini ni cku ya j5 tu ingawa miaka...
Najaribu kulogin kwenye account yangu tangu jana ila naambiwa nimekosea password lkn am sure password nayotumia ndo yenyewe..........
Je hili tatzo n kwa wote walioomba udom au peke angu tu...
Tunaomba wasimamizi wa mitihani darasa la saba wilaya ya Bunda watende haki, kuna baadhi ya shule za halmashauri ya wilaya ya mji Bunda wameleta watu wasiojulikana kuja kufanyia mtihani katika...
Hatima ya vyuo vikuu 19 vilivyozuiwa kudahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/18 kujua hatima zao baada ya Bodi ya vyuo vikuu (TCU) kumaliza kupitia ripoti zao.
Katika mwezi July, TCU walifungia...
Dar es Salaam. Wanafunzi 917,072 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi kesho na keshokutwa (Septemba 6 na 7).
Kati ya wanafunzi hao, wavulana ni 432,744 sawa na asilimia 47.19...
Habar za SAA hz wakuu
Leo nimekumbuka life adimu la 838kj enzi hizo naitwa nguruta duh Yale maisha yalikuwa matam AF machungu
Nilikua napenda sana chenja
Kudoji
Na kubast msosi yan mzabun...
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Rita, Emmy Hudson
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umeongeza muda wa kupokea maombi ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa wanafunzi wanaoomba...
Nimefanya application kwa course ya diploma(nursing,Co,medical lab) kwa serikali nawait selection wiki ijayo???
Swali langu, je hivi selection zikitoka kama haujachaguliwa kuna second...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini RITA imewataka Waombaji wa mkopo wa Elimu ya Juu kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo kabla ya kuviwasilisha kwa Bodi ya Mikopo na kusisitiza kuwa hakuna...
Kulipa kwa swift code
Guys kuna chuo na apply huko kwa madiba sasa wamenipa hizi taarifa nikalipie application fee. Mwenye ufahamu anipe nondo
Bank: Standard Bank
Branch: Braamfontein (004 805)...
Mpaka tumekutana kwenye thread hii natumai wengi wetu ni wazima na wale wenye udhaifu kiasi basi Mungu atufanyie wepesi .
Kabla ya yote ningependa kutoa maelezo binafsi ili kupunguza maswali huko...
Sikutegemea kama haya ninayoyaona katika shule ya Ngudu high school ningeweza kuyaona yakifanywa katika awamu hii ya Rais Magufuli.
Ya waalimu walioko mazoezi (field) kutumia muda wa kuanzia saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.