Hello group kwa wale form six wanaopenda kusoma kozi hasa za afya karibu chuo kikuu cha st john university
Bachelor of pharmacy
Bachelor of science in nursing nafazi ni chacheee
Niulize...
Wana jamvi kama tittle inavo jieleza apo nlikua nauliza hivi kwa nini mwaka huu wamechelewa kutoa majina ya watu waliochaguliwa kujiiunga na diploma na certificate kuoitia Nacte
Sent using Jamii...
Dogo kachaguliwa vyuo viwili tofauti kwa ngazi ya ordinal diploma....moja pharmacy nyingine water quality laboratory...ipi ipo poa kat ya hzo kimaslah ajira(kuajiriwa) au kujiajiri...ahsante
Wakuu wa Jamii Forum
Ningeomba tujuzane hapa katika uzi huu,
Tatizo linaloweza kusababisha mtu asijiamini na afanye kipi ili kuepuka tatizo hili maana limeshamili sana hasa kwa vijana wa sasa...
Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha sita ila kuna mtu mwingine amejisajili kuomba mkopo kwa kutumia taarifa namba yake ya kidato cha nne kimakosa na akaachia usajili katikati baada ya kukosea...
Kutokana na mabadiliko ya maombi ya vyuo kutoka NACTE imetulazimu watu wengi kuomba vyuo zaidi ya kimoja na kozi tofautitofauti(vyuo vya kati), ili kujiwekea uhakika zaidi wa kupata chuo/nafasi...
Habarini za mida ndugu zanguni!!!!
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu hiv kwa mfano mtu aliye fanya application na anvigezo vyote ikatokea hajachaguliwa chuo cha government kutokana na...
Wana jukwaa sasa ni wiki nzima nashindwa kufanya editing kwenye PRELIMINARY INFORMATION kipengele cha APPLICANT disability... nikijaribu kuweka NONE inagoma na kuandika OTHERS. Nimejaribu sana...
Kuna tetesi nimeskia kuwa waliosoma certificate na kuaply kozi tofauti na walizosomea na kuaply nyingne kwenye ngazi ya diploma hawatachaguliwa...je ni kweli jaman?inakuwaje kwa aliyeaply coz ya...
Naomba kuuliza kuwa, sijapangiwa post ya kidato cha tano lakini nimebalance comb, je kuna uwezekano wa kwenda TAMISEMI kwenda kuomba wanipangie shule?
Kama inawezekana naomba mnambie
Sent using...
Salamu wana Jamii Forum. Naomba kama kuna mtu anafahamu Chuo Chochote cha AIR HOSTESS hapa nyumbani au Kenya anijulishe. Nahitaji kumpeleka dogo ambaye amemaliza O Level. Nitashukuru kama...
nilifanya application online ya English Medium Bachelor of Medicine Bachelor of Surgery,(MBBS) CHINA katika CHANGSHA MEDICAL UNIVERSITY nime pewa taarfa kuwa nimekua approved....
tafadhari...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu imeongeza muda wa maombi ya mkopo hadi tarehe 11 Septemba kutoka Septemba 4 ambayo ilikuwa mwisho.
Mkurugenzi Mtendaji HESLB, Abdul-Razaq Badru asema...
List of Online Applicants for Ordinary Diploma and Bachelor Degree Programmes for the Academic year 2017/2018 - Batch V
Applicants List for Ordinary Diploma and Bachelor Degree Programmes for...
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.