Baada ya dc-hai ndugu Byakanwa kunukuliwa katika mahojiano na clouds FM wakati akijitetea kuhusu swala la kumweka ndani mwalimu,japo hakusema SABABU za kumweka mwalimu ndani,alisikika akisema...
Habarini wanaJF naomba kujua kuhusu form 6 waliomaliza mwaka jana na walikosa sifa za kujiunga vyuo vikuu ivyo serikali ikatoa tamko la kuwataka kujiunga na JKT je walipata fursa ya kuendelea na...
Habarini wanaJF naomba kufahamishwa wale vijana waliotakiwa kujiunga na JKT December mwaka jana walipata fursa ya kujiunga na vyombo vya ulinzi & usalama au walirudi majumbani baada ya kumaliza...
? +? +? =30
Use the following numbers to fill in question tags!
1,3,5,7,9,11,13,15
The numbers can be repeated, no problem!
Wish you the best!
If you know your enemy than yourself you...
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage, nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vipi naweza nikawa habari ya...
Naomba msaada. Nina mtoto wa dada yangu namsaidia kumsomesha. Sister alimuacha baada ya kufariki kwenye ajari ya Basi. Dogo sasa anataka kunitia uchizi. Tabia zimekuwa mbaya. Naona shule za...
Wakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa...
Tuanze kwa kujikumbushemaneno ya wahenga maneno ya wahenga
Einsten aliwahi kusema education is what remains after all material learnt get forgotten Aristotle alishasema Our education should be...
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi awamu ya pili mwaka mwaka 2017 pamoja na fomu za kujiunga na shule (joining instructions) inapatikana kwenye...
Wanajamii habari za asubuhi?naombeni kuuliza,hivi wadogo/watoto wetu waliomaliza kidato cha nne na majina yao kutoka kua watachaguliwa KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI...
Ninapenda sana kushare material kwa kidogo nilichonacho nina uhakika chaweza kusaiidia wengi, na wewe pia kama una vitabu vya cpa viweke humu kama huwezi nitumie kwenye email...
Question and Answerr for
1. Coprorate reporting
2. Perfomance mgt
3. Audit and Assuarance services
Plus comprehensive books with all notes you need
Download for free and print at your own...
Poleni kwa majukumu wakuu, naombeni mnisaidie katika hili, nimehitimu f6 mwaka jana ila sijachukua cheti, kwenye application ya mkopo nimeattach result slip, kutakuwa na tatizo juu ya hilo?
Sent...
Jaman msaada hiv kama mtu kamaliza kutuma fom tayar kwa ems Je kuna uwezekano wa kwenda kuatach result slip ya f6 coz niliwah kutuma kabla ya result slip kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini mmeamka salama, kulingana kichwa cha habari hapo juu Naomba kwa yeyote anayejua shule nzuru ada yake iwe milioni moja kuja chini anijulishe, pia kama ana mawasiliano ya shule anipe...
JIAS invites applications for its writing semester from 1 February to 31 May 2018. Fellowships are open to people with any expertise – previous Fellows have included academics, novelists...
Habari wanajamvii,
Naimani kubwa sana wengi wetu tupo vyema kiafya na mapambano ya kilasiku yanasogea mbele bilashaka,
Dhumuni kubwa la kuanzisha Uzi huu ni kuapriate uwepo wa forum hii kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.