Nina mdogo angu alipata 4 ya 27 yuko nyumban adi saiv.. Naomben ushaur ni chuo gan kinamfaa cha serikali kwa sabab ataki kurudi shul tena na alisoma arts na ana F ya mathe tuu
Mm nategemea kuingia chuo mwez wa tisa kwa cz ya procurement and supply kwaiyo nlikua naomba kama kuna MTU kasomea cz iyo anisaidie notice kwakua ndo kwanza naanza certificate
Msaada ndugu zangu...
Heshima mbele wadau.
Kama kuna mtu yeyote unamfaham ambae amekuwa certified na RedHat yaani REDHAT CERTIFIED SYSTEM ADMINISTRATOR (RHCSA) Naomba unijulishe hapa au inbox.
Natanguliza shukrani
Nimemaliza diploma ya Mifugo tangu last year NACTE wanachelewesha vyeti walisema 12 August 2017 lakini hamna kitu na kazi zimetoka, je tunafanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamii forum naombeni kuuliza mwanangu amechaguliwa 2nd selection Shule ya Namabengo High School, ipo ktk Wilaya ya Namtumbo - Ruvuma, Swali langu ili afike huko shuleni akitokea Dar es salaam...
Naomba kuuliza kUna baadhi ya vyuo ni kwelI wameshaanza kutuma Confimation kwa wanafunzi walio apply vyuon kwao? NAULIZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaJF naomba tukumbushane mambo kadha wa kadha kuhusu shule zetu hizi mbili na kongwe zaidi Tanzania...mimi ni mmojawapo kati ya waliobahatika kuwa Mboyzia au mwana Berlin form 5&6 na najua...
Naomba kuuliza je kujiunga na mafunzo ya VETA mwaka 2017/2018 kwenye chuo cha serikali Veta Iringa ni lini na Je ni muda gani wa kuomba kujiunga na chuo cha ualimu wa veta MOROGORO kwa mwaka huu...
Jamani, mwenye taarifa yoyote kuhusu SELECTION vyuo hivi vya kilimo MATI's atujuze mishe zikoje na zitatoka lini.
Maana wengine tumeomba toka mwezi May till now hatujui linalojiri na deadline...
Shikamoni wakubwa, kama kawaida yetu naomba msaada fasta computer kabla haijazima, nilikuwa naregister TCU kuna sehemu imeandikwa voucher naomba kujua unajaza nini. Nimehisi ni hela je unalipa kwa...
Wakuu kama ilivyo hapo juu,kama kuna mhenga yoyote aliyepita hapo naomba tukumbushane kwa Yale tuliyaona na kujifunza ktk kisima hiki cha academy.Asanteni naomba niwakaribishe.
Sent using Jamii...
Habari za asubuhi wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu.
Katika kufuatilia na kufanya michakato mbalimbali katika uombaji wa mkopo nimekumbana na changamoto nyingi ambazo...
Jamani ambaye anajua kinacho endelea kuhusu second selection za vyuo maana zilizo toka zote ni shule na kunabaadhi hawajapangiwa msaada more information
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mihangaiko wana jf, mwenye uelewa kuhusu course zinazotolewa na chuo cha swisport kilichopo airport Dar es salaam ningependa kuuliza kuhusu ajira za hizo course tofauti na kufanya kazi...
Naombeni kufahamishwa jinsi ya kuangalia capacity ya chuo kuaply na namna ya kuangalia namba ya watu walioaply tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa zimebaki siku tano mwisho wa kupokea wanafunzi wanao apply kwa certificate hadi degree so fanyeni budi mwisho tar 30/8 ingia www.mnma.ac.tz ujisajili ada kitonga tyuuuuu!!!
Sema kama...
Nakaribisha mjadala wa kujadili fursa na changamoto tunazokumbana nazo mtaani kwa sasa ili kuweza kuwasaidia vijana waliopo chuoni kujifunza ili wajiandae namna ya kukabiliana nazo..
Lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.