Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mimi ni mwalimu,hivi karibuni niliomba uhamisho ndani ya wilaya kwa kujigharamia mwenyewe ili nisogee karibu na familia yangu. Cha ajabu nimekuja kujibiwa barua inasema yahusu kujibu barua yako...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Habari za jioni wadau. Naomba kwa yeyote ambaye amefanikiwa kutuma maombi ya uhakiki rita na akajibiwa, tufahamishane hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
35 Replies
10K Views
TANGAZO KWA UMMA OR-TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano kwa awamu ya pili tarehe 23 Agosti, 2017. Wanafunzi hawa ni miongozi mwa wanafunzi 34,727 wakiwemo...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Naandika ili kama taasisi hizi wanapita hii forum wajue utata wanaosababisha - Rita, heslb pamoja na TCU. Leo nimeenda kuhakiki cheti cha kuzaliwa binti yangu wilayani wakaniambia nikipeleke kule...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Mdogo wangu amechaguliwa shule hiyo chaguo la pili inaonekana iko Mwanza lakini siipati shule hiyo kwenye mkoa wa mwanza ninapoitafuta,ninashida na joining instruction ya shule hiyo ili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu, chonde chonde mwenye kujua anwani ya barua ya mtajwa hapo juu naomba anisaidie! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
17K Views
Uzi maalumu kwa tuliosoma Forodhani Sec School, unakumbuka nini? Mnawakumbuka maticha gani? Kitu gani unakimiss? Na ikiwezekana utuambie ulihitimu mwaka gani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa anayeelewa hiyo course naomba anisaidie kunielekeza upatikanaji wake wa ajira uko vipi hapa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nataka kujua kuwa kidato cha tano wapya tayari? Chaguo la pili Tafadhali naomba kujuzwa
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Wakuu hostel accommodation Mwenge Catholic University wanalipaje na nje ya chuo kuna Vyumba?? Msada tafadhali!!!!!!
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ndugu wana jukwaa poleni na shughuli za kulijenga taifa. Niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kwa ndugu Zangu wataaramu wa mitandao naomba kusaidiwa kuhusu njia au program maarumu ya kurudisha...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Habari,naombeni mnijuze jinsi ya ku-certify vyeti vyangu,pia jins yakupata "transcript" na kuongeza jina la tatu kwenye vyeti.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wadau nimemuombea mdogo wangu chuo kikuu cha Bugando lakini nikawa sijakamilisha kitu kidigo sikumaliza, nikata kuendelea tena siku ya pili lakini cha kushangaza wiki ya pili hii system yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imebuni njia mpya ya kufanya mtihani kwa kutumia penseli! wizara ya elimu imelazimisha wanafumzi wa darasa la saba kufanya mtihani wao utakaoanza tar6na 7 mwezi 9 kwa kutumia...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet[emoji310] [emoji187]
1 Reactions
55 Replies
5K Views
tafadhali mwenye kujua hivyo vitu hapo juu anijuze, nitafurahi pia kama nitapata na mifano hasa hasa ambayo inapatikana hapa hapa bongoland.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi waungwana, Husika nakichwa hapo juu,marehem baba alifia nje ya nchi sasa niliwafata RITA kwaajili ya kupata cheti cha kifo na wao wanasema hawatoi cheti cha kifo kwa mtu aliefia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
[emoji18] [emoji18] [emoji19] huu ndo mwanzo wa kuwa bashite maana 3 tunazo ila tunakua sawa na walo pata OOO Yan fanyeni muwakumbushe tamisemi kuwa mtaani maisha c mazur jama [emoji120]...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu , shule nzuri ya English medium ngazi ya nursery. Kama ukiweza kunishirikisha mawasiliano yao , kama vile namba ya simu , link ya ukurasa wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauliza kama kuna applicants wa private katika chuo cha optometry KCMC??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom