Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu,natafuta kitabu hiki,problem from hell,by Samantha power,mwenye nakala tafadhali,soft copy,au jinsi ya kukipata naomba msaada. Asalaam aleikum
0 Reactions
4 Replies
773 Views
Habarini wakuu....hvi hii course ya water quality and laboratory technology kutoka chuo cha maji ubungo ina uwanja mkubwa wa ajira kweli? Naomba mwenye uelewa anijuze nsije zama nkajikuta nasugua...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni kweli nilikuwa naipenda sana Electrical/Telecoms Engineering, labda kwa kuwa nilikuwa siifaham vizuri Civil Engineering! Wadau mkanishauri niisome hii kozi...Mkiwa na fact zenu kwamba ni pana...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
.....Hello again. .....wakuu tujadili,tufanye nini shule za serikali zifaulishe kama za private? ...Binafsi,nadhani kuweka/kuwalipisha school fees ndogo kwa wanafunzi,badala ya kusoma...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua wit education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni GEO B+...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Soma tangazo hilo kutoka RITA
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Habarini!!!! Na poleni na shughuli za kila siku... Jaman naombeni msaada nataka "KU LOG IN" account ya mdogo wangu Vyuo alivyoviomba MZUMBE na UDOM ni miongo Sasa nmesahau sehemu ya username...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kilaini iliyopo Bukoba vijijini na afisa elimu wa wilaya ya Bukoba wanahojiwa na polisi kwa kutokuchukua hatua kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo akiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajf Madogo ndo hao Sasa lazima wafanye mtihani wa kidato cha sita. Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka dogo langu kwa matokeo haya:- Chemistry-B Biology-B...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Nina mtoto wa ndugu yangu ana umri wa takriban miaka 10 ni wa kiume, tumemtoa kijijini alikokuwa anaishi na baby Na Bibi Yake mzaa mama yake, lengo la kumchukua ni kutaka asome na kuondokana...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
ZAIDI ya wanafunzi 30,000 wa vyuo vya elimu ya juu nchini kwa mwaka mpya wa masomo 2017/18, watanufaika na Sh bilioni 427 kutoka Bodi Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), huku wanufaika hao wakiwekwa...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Nidhamu ni kufanya kitu kwa weledi bila kusimamiwa. Utovu wa nidhamu ni nini!? Ni kufanya vitu kwa kusudi bila kuheshimu nani anakutazama. Kuwa na nidhamu kwa kila kitu unachofanya hata...
0 Reactions
5 Replies
17K Views
habari wanajf! Kwa mwenye uzoefu na maswala ya presentation za research proposals, nimekuwa shortlisted katika scholarship fulani hivi ambayo niliaply, Sasa nimetakiwa nikapresent na kudefend...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu tusaidiane hapa wakuu, Hivi kama unaaply chuo cha MUHAS unafikia sehemu ya Program selection unaambiwa " YOUR SELECTION OF PROGRAM MUST BE UNIQIE PLESE CORRECT AND SAVE IT" Mbona kila...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Habari, naulizia chuo kinachotoa kozi ya medical attendant kwa dar es salaam ni kipi? Yaani Ile kozi ya wale wanaofanya kazi mahospitalini mara nyingi kusafisha safisha vifaa na wakati mwengine...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
myelimu.com ni mtandao unaowaleta pamoja wanafunzi wote wa sekondari Tanzania kujadili masomo pamoja na maswala mengine mbalimbali ya kitaaluma. Muanzilishi wa mtandao wa myelimu.com Bwana...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Wakuu, Utaratibu wa kutuma maombi ukoje? Na kiwango cha pesa kwa ada ya maombi ya nafasi ikoje? Natanguliza shukrani!
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wadau nimemaliza form four nikapata div 2 ya 21, ila sikusoma physics...ndo nataka nirudie hilo somo moja tu.... Je inawezekana? Kama wakitaka masomo mawili naweza nikasoma Physics na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Haya kwa wale ambao walichelewa kuhakiki tuzo zao fursa hiyo kwa mara nyingine
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom