Wakuu habar zenu...kuna jamaa yangu yuko mkoa kachelewa Ku verify vyeti vya diploma ili apate kuomba chuo akasome bachelor.. Nacte walitoa dead line mwisho 15 august... Je nimsaidiaje?
Sent using...
Asalam alaikum.
Kama ilivyo topic hapo juu. Naomba kuuliza Vp computer Engineer Tanzania ina Soko. Na kama ina soko kazi zao ni zip na zipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada jamani mimi ni mwanafunzi wa ualimu elimu ya msingi (GRADE A TEACHER S COLLEGES ) Naomba msaada tovuti ya kupata past paper za NECTA Ualimu na material mbalimbali tofauti na THCL
1Bsc Of medical laboratory in clinical chemistry and Bad of medical laboratory general
2.Bsc of science in chemistry and Bsc of education with chemistry
3.Biotechnology
Maaana ata sielewii...
Wakuu polen kwa uchovu wa majukumu ya kila siku.
Mimi mdogo wangu hana amani tangu wiki mbili ago form yake ya mkopo imenasa kwenye mtandao inamuambia system is busy na hajamaliza baadhi ya...
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa...
Wakuu habari ya wakati huu Alhamis moja maridhawa kabisa...
Samahani hivi hawa St Joseph wamekuwa wakifanya udahili wao Buree ONLINE ukimaliza kutuma baada ya muda unatumiwa sms kuwa You are...
Hwa wanapohitimu wanafanya kazi mahospitalini kwa nafasi zipi?
TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING= je ni sawa na nurse assistant/ attendant
TECHNICIAN CERTIFICATE IN MEDICAL LABORATORY TECHNOLOGY=...
Mimi ni kijana muajiriwa
Natamani sana nijifunze program yoyote kwenye computer kupitia private chuo popote Dar pale tuu napokuwa na muda na fasi.
Ratiba yangu inaweza kuwa tofauti na wanafunzi...
Wakuu...
Baada ya kumuona ndugu yangu erick shigongo anarudi shule(chuo)
Sasa nimejihakikishia kutoka moyoni mwaka huu...Naanza kusoma QT nikimaliza naingia degree tena ya science nataka niwe...
Hisika na mada kama uliomba chuo chochote cha kilimo cha kiserikali majibu yametoka yako vyuoni yamebandikwa, ushuhuda ya Horti Tengeru yako kwenye ubao wa matangazo wa chuo
Sent from my...
Habari zenu wandugu.
African Business Education Initiative for Youth (ABE Initiative) 2018 Master’s Degree & Internship Program for Africans (Fully Funded to Japan)...
Kwema waungwana...?
Nilikua naomba msaada wa utofauti wa course hiz za utalii.
Tourism management inatolewa (S.U.A), science in tourism(ST.AGUSTINE) na Tourism in cultural heritage(UDOM)...
Naomba ufafanuzi. Nani anaomba (Kuna tofauti gani) Muhimbili school of midwifery and nursing na Muhimbili school of nursing? Kuna tofauti gani kati ya vyuo hivyo viwili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.