Habari za wakati huu ndugu zangu. Ninaomba kufahamu kama hapa Tanzania kuna chuo kinachotoa kozi ya Educational Technology kwa ngazi ya shahada ya kwanza au Uzamili.
Asante.
Leo nimeamua kuleta swali hili kwenu wadau, ni swali ambalo nilikua najiuliza siku nyingi na sijapata jibu sahihi ila labda huku naweza kupata jibu la kuridhisha nafsi yangu..
Kwanini Mende akifa...
Wadau nataka kujua sifa kufanya mtihani kidato sita kwa comb ya CBN na CBA kama aujawahi soma O-Level nutrion na agriculture
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wadau naomben mnisaidie kitu kimoja kwani chanchanganya sanaa. Hivi mtu kwa mfano ukasajiliwa kufanya mtihani kama school candidate alafu ukatoka katika hiyo shule ukaenda kujiandikisha kama...
HARAKATI ZA A ELIMU KWA TANZANIA NA AFRICA YA KESHO.
1. Matumizi ya ICT vyuoni kwasasa ni lazima yaongezeke kwani idadi ya wanafunzi sasa ni kubwa mno kuweza kuimanage manually.
2. Mitaala...
hivi kuna watu wamesoma civil engineering na wanasota mtaani? Maana nataka nikapige course hiyo ata kadiploma maana maisha ya ualimu usipime
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea sifa za kujiunga na kozi za afya ngazi ya cheti (certificate) kwa fani ya uuguzi na uganga hazifanani. Kwa kozi ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti mwombaji anatakiwa awe amemaliza kidato...
Kama kuna mwalimu wa advance anafundisha somo tajwa hapo juu naomba kusaidiwa past paper ya mock iliyofanyika katika mkoa wako. Natanguliza shukrani, ikibidi hata kuuziwa, nitanunua.
Sent using...
Wakuu nahitaji fomu za kujiunga na vyuo vya kilimo. Nimeambiwa form ziko kwenye website ya wizara lakini nimeingia sijaziona. Msaada kwa aliyefanikiwa.
Asante
Wakuu na Wadau wote, Mimi ninalo tatizo la kuielewa Hii Syllabus ya Elimu Msingi ya 2016. Syllabus hii imeletwa kwetu sisi walimu, tumeambiwa tuanze kuitumia; walimu 2 kwa kila shule walipewa...
Wakuu naombeni mnielekeze shule bora ya Nursery ambayo watoto wanafundishwa vizuri ikiwemo tabia njema na elimu pia.
Shule isiwe ya mrengo wa kidini.
Naomba mnielekeze tafadhali.
Nitashukuru sana...
Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
Wiki hii yote kumekuwa na uandikishaji. Ofisi za mikoani imetokea kwamba mtandao ghafla umekatika na hivyo hawapati network jinsi ya kupata majina yao kusajiriwa ili wajiunge na vyuo.
Ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.