Salam kwenu wote,
Wadau hebu niwekeni sawa katika suala la upandaji wa madaraja, hivi mtu anapokuwa masomoni haruhusiwi kupanda daraja?
Na je unapokuwa umepanda unapaswa kurekebishiwa mshahara...
Habarini za asubuhi wana jamvi..
Nina ndugu yangu alipata division 4 ya 26 kwenye mtihani wa form 4 (2016). Kwa sasa anataka kurudia pepa na shauku yake kubwa achukue sayansi.
Naomba msaada kwa...
Habari wakuu...
wanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea grade "A"wamegoma wakidai kurudishiwa pesa yao ambayo haieleweki imetumika vipi.
Hii ni baada ya serikali kubadilisha mfumo wa nacte kuja...
Wadau nataka kujua kama kuna tatizo lolote ukiomba course mfano ya biashara lakini umesoma arts. Nauliza kwa sababu kuna vyuo wanatoa mapendekezo matano, je ulimaliza mapendekezo yako ukaweka...
Amani iwe kwenu waungwana, naona SUA wananikatisha tamaa kwenye hili, nililipa elfu 25 kwa CRDB kwa ajili ya application SUA, siku ya kwanza na ya pili kulipa ilikubali kulog in na nikajaza...
I am always impressed by a concert pianist, or a soccer midfielder, or a truly skillful visual artist. Their abilities seem other worldly. To mention a few, i think Picasso was a master, and...
Wanajamvi
Katika application za mikopo hawa mabwana wanahtaji tuambatanishe hzo results slip
Mwenye taarfa nilin ztatoja atujulishe maana mashuleni bado hazjafika
Matokeo ya certificate mpaka Leo hayajatoka alafu anataka Ku apply ngaz ya diploma atafanyaje ili aweze ku apply ??? Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wadau Wa humu jukwaani ninaomba msaada nina Mdogo wangu alimaliza diploma in secondary education mwaka 2015 lakini bahati mbaya alipata supprimentary mwaka Jana akaifanya na kufaulu...
tazama majina ya wanafunzi wanao tarajiwa kupangiwa nafasi za kidato cha tano na vyuo vya ufundi awamu ya pili
ORODHA-YA-WANAFUNZI-WATAKAOPANGIWA-AWAMU-II-light.pdf
Naomba kueleweshwa.
Kwa nini vyuo vikuu vyote vya Tanzania elimu ya masters ni lazima iwe ye miezi 18 na sio miezi 12 kama vyuo vingi ulaya na marekani?
Pia naona vyuo vingi havina mfumo wa...
Nimeona tangazo la NGO ya Tanzania social support foundation, kuwa wanatoa ufadhili na mikopo kwa wanachuo wa vyuo vya elimu ya juu.Ili maombi yako yaweze kuhalalishwa inabidi muombaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.