Serikali imekipatia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zaidi ya Sh. bilioni 6.7 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya ufundishaji wa chuo hicho, ikiwemo kujenga madarasa na nyumba za walimu...
Naomba kujuzwa corse hii inayoitwa hydropower eng. Diploma! Ila dploma mwisho wa kutuma maombi ilikuwa tarehe 6!! Sasa cjui kama watarusu maombi kwa sasa!! Mchango wenu muhimu kwangu. Shukran...
Zamani kwenda sekondari ilikua adimu mana school zilikua chache na ni kua wanafunzi walikua na uwezo kiakili,sasa technologia Imekua sana, Computer zipo,Je unazani kinachosabisha wanafunzi wa sasa...
Salaam
Naomba msaada wa TCU kuwasiliana na vyuo vikuu, tumekuwa na wakati mgumu sana kuwasilisha application zetu kwenye baadhi ya vyuo.
Kwa mfano baadhi ya vyuo vinaulizia kumbukumbu za kurudia...
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze...
Salam
Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusoma kulingana na ufaulu huu
Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English language B
Physics F
Chemistry D
Biology C
B/maths D
Naombeni...
Inategemewa kua wasomi ndio mwanga bali tumekua giza.kila kitu kina utaratibu,mfano wa chuo nilichopo watu wanaishi kabisa na kuzaa bila wazazi wao kujua.Na kila ukipita jioni kila mtu na jinsia...
Toka nyuma inajulikana kua wanafunzi wa sekondary wanabanwa wasishiriki mapenzi,na wanapofika chuoni wengine wana element za utoto,na maisha ya chuo ni kujipangia,je unadhani kujiingiza katika...
Wakuu habar zenu kuna rafiki yangu Anataka Ku verify cheti chake cha diploma TCU ili aombe chuo ...naombeni muongozo ..je procedure zake zikoje?
Hii process ni bure au unatakiwa kulipia?
Sent...
Ushauri kwa wanaotarajia kuomba mkopo kwa 2016/2017
Muda wowote kuanzia sasa, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) itatangaza kupitia vyombo vya habari ikiwemo tovuti yake...
Nina swali, hivi ili uweze kusomea Sheria unapaswa uwe na uwezo gani mwingine zaidi ya lugha ya Kiingereza? Yaani Sheria inahitaji nini cha zaidi ili uweze kusoma na kuhitimu?
Wakuu serikali iliweka wazi kuwa gharama za juu za udahili kwa kila chuo ni 10,000 Tsh kwa degree program lakini hili limekuwa ni tofauti kwa taasisi kama ya DIT.
DIT wao wameamua kuweka gharama...
You only have 160 characters to type out a message (sometimes less). So learning short hand and slang is a must for those who want to cram everything into one message. Below is a list of txt slang...
Kama ulichukua mkopo wa kusomea ni heri uanze kulipa kidogo kidogo hata 100,000 kwa mwezi. Kuna kitu kinaitwa charges for value retention fee na penalty ni balaa. Mfano Mdogo wangu alichukua mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.