Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa marks hizi naweza kusoma clinical officer?? Biology B Chemistry C Physics C English B B/maths E Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Eti wadau kozi ya communication system inahusu nini kiufupi . .ajira zake ni wapi haswa? hata mshahara wake. .. Kwa diploma
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahani wakuu kwa yeyote anayejua connection jinsi ya kupata sponsor wa kufadhili kusoma Masters (Public Administration, political science, sociology, public policy) ndani ya nchi yetu hii naomba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada namna ya kufuata ili kuweza kutuma maombi ya ualimu ngazi ya cheti katika vyuo vya kiserikali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Water Institute (WI) is fully registered by the National Council for Technical Education (NACTE) and its Programmes are fully accredited by NACTE.The Institute invites applications from qualified...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Nauliza hivi mtu akijiunga na ordinary diploma ya C.O,pharmacy,lab tech na kupata gpa ya 3.0 na kuendelea?je akitaka kujiunga chuo anatumia kigezo kujiunga na degree kwa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kufungiwa kwa vyuo 19 naona iwe fundisho kwa wanafunzi walio vyuoni,, Hapa point yangu ni kwamba wajitahidi wa score higher marks as possible na wakati huo huo wajitahidi kupata knowledge...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
[emoji1]
1 Reactions
1 Replies
598 Views
Wakuu Habari, Naomba kujuzwa vyuo (vinavyotambulika na serikali) ambavyo vinafundisha mapishi ya nchi mbalimbali na pia vinatoa nafasi ya kwenda field. Kuna dada yangu anahitaji kwenda...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habarini za kazi naomba kufahamiswa hivi MTU akimaliza diploma ya nursing anaruhusiwa kuunganisha degree yake pasipo kufanya kazi kwa muda yaaan uzoefu ama inakuaje kwa upande Wa afya
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum walahmatullaah taallah wabaraqatuh! Moja kwa moja niende kwenye point Mimi ni mjasiriamali ila kuna shughuli nataka kupitia kufanya mashuleni na nilipenda kabla sijaenda mashuleni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejaribu kuapply kupitia NACTE OAVS bt option ya vyuo naona ni vya afya na ualimu tu na hela nimetuma 20 msaada plz
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Hii course inadeal na nini na vipi kwa upande wa ajira...?ukimaliza unaweza kusoma course gani bachelor..?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini wapendwa ni hvi nashidwa kufahamu nacte wanahitaji formati gani y number wanayotaka mtu aingize kabla y ku submit hyo form...kama kuna ambaye anajua anifahamishe
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya vyuo na taasisi(nacte) kuruhusu maombi ya udahili kwa mwaka 2017/2018,baadhi ya wanafunzi wanashindwa kuelewa mambo fulanifulani juu ya kozi ambazo...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo...
14 Reactions
195 Replies
19K Views
Wakubwa nilkuwa naomba kwa anayefahamu lini form five second selection anisaidie kwa maana walitoa majina tu ya ambao watachaguliwa lakin shule hazijapangwa, So nilikuwa naomba kufaham n lin...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mtu awaye yote ambaye anataka kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi bure bilashi aiombe kupitia barua pepe yangu klfmzungu@gmail.com.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom