Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar wadau,natafuta MTU aneosoma chuo tajwa ngaz ya degree
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Habari wadau wa Elimu Tanzania? Naomba kuuliza maombi ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya juu yameshafunguliwa na HELB kwa mwaka huu 2017? Asante, nawasilisha.
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu habari... Nipo hapa kuulizia kama hile bei elekezi ya ada ya maombi ya kujiunga na vyuo vikuu ya Shilingi 10000/= .,je ni kwa ajili ya wanao apply SHAHADA YA KWANZA TUU au...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Kwa anaejua mitihani ya SAT na faida yake tujuzane Au kwa yeyote mwenye experience nayo???
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, nipo online nafanya application katika Chuo Cha Mipango DODOMA lakin nimekwama jinsi ya ku-attach documents (birth sertificate, Olevel and A level sertificate) ili niende...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajf Naomba mnisaidie kujua ni vyuo vipi bora kwa elimu ya juu kati ya Uganda na Tanzania Uganda kuna baadhi Kama : 1.makelele university (Govt) 2.international university of eastafrica...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana.. Katika mchakato ambao Mara hii kila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
What is the best Excellency high education institution in Tanzani?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari ya wakati wana jamvi? kwa wale mliokuwa mnafuatilia somo langu nimerudi tena baada ya kimya kwa muda. Pitia somo na uache maoni yako hapa. solution of learn trigonometry step by step...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Elimu si tu inatupa uelewa wa mapambano ya maisha yetu ya kila siku kimwili, lakini pia kiroho. Katika page hii Sabbath vs Sunday utapata kujifunza mengi yenye kukupa uelewa si tu katika maisha...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Wakuu mimo binafs nashindwa kuelewa HV hawa bodi ya mikopo ni Lin watafungua mfumo wao coz au wanataka watuletee vigezo vingne vigumu vya kutupa mikopo?Waswahili wanasema kimya kina mshindo lkn...
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Wakuu naomba kuuliza hivi ukitaka kujiunga na veta chang'ombe kwa course ndefu ya umeme ni lazima ufanye interview kwanza na hiyo interview inakuwa ni IPI yaan ya masomo gani naomba kujua wakuu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza sana tume ya vyuo vikuu nchini (TCU), kwa huu mfumo mpya wa kuchagua vyuo waliouanzisha, ambapo mwanafunzi anatuma maombi moja kwa moja kwenye chuo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba msaada nikitaka kuapply NACTE diploma, inaniambia matokeo ya form six hayako kwenye database UPDATE: Nimefanikiwa baada ya kujaribu tena; nadhani servers zao zilikuwa na shida
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau naomba kufahamishwa hivi kwa wale ambao mmeaply chuo kikuu mwaka huu, kupitia ONLINE APPLICATION SYSTEM, Je, kuna sehemu ya ku-upload picha ya muombaji kwenye profile yake? Maana mimi naona...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi, kuna jambo nahitaji kulifahamu vizuri, mimi nasoma stashahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, malengo yangu nikimaliza niombe kusoma shahada ya accounting and...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina mdogo angu kamaliza certificate anataka kuendelea na diploma chuo kingine Ila vyuo vingi deadline ni mwez wa 8 anauliza endapo matokeo yatachelewa kuna njia m'badala ya yeye kuweza kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema,nimeingia kwenye page yenu ila sijafanikiwa kuona ada ya degree programs esp. Logistics and Transport Management mwenye kufahamu aniwekee hapa Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wasaalam bandugu Naombeni ushauri, mimi ni muhitumu wa ualimu ngazi ya degree, sasa kutokana na ugumu wa soko la ajira nataka kufanya maamuzi kutokana na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom