Habarini wana ndugu naombeni msaada. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari , elimu yangu ni diploma nafundisha masomo ya science yaani physics na hesabu, mpaka sasa kuna mambo mawili yananitatiza...
Kipindi kifupi cha nyuma combination kama PCB na CBG zilionekana kama lulu kwakuwa na wigo mpana na nafasi za kuaminika pale inapofikia wakati wa kuapply vyuo jwa kua na fani nyingi zenye market...
Habari wana jukwaa wa la elimu, Je kuna uwezekano wa kusubiri second selection kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D PHYS D BIOS D B /MATH D.
Mimi naona hakuna...
l
President Jakaya Kikwete
President Jakaya Kikwete yesterday broke his silence over mafataki, men who lust for young girls mostly still at school, saying that that their lust was...
Naomba kuuliza kwa nafasi za kujiunga na jeshi la taifa yaan Uwanajeshi na siyo uaskari huchukua wahitimu wa kidato cha nne(form4) au kidato cha sita(form6) pekee au wote kwa ujumla......??
Kwani...
Wakuu ninashida na mawasiliano ya admission officer wa arusha technical college Nina shida Mayo sana maana nimejaribu kumuelezea secretary kwa kutumia namba ya office lakini Majibu yake siyo...
Habari wa JF
Kwa yeyote mwenye kujua site ya kupata past papers za necta form two na 4 au mock ya mkoa, wilaya yoyote anisaidie.
Nitafurahi sana kwa ushirikiano wenu.
usiku mwema
Serikali ya JK pamoja na kulipa wafanyakazi na wanafunzi hewa lakini waliwapa wanafunzi wote mikopo bila kujali alimaliza shule muda mrefu, bila kujali umri wala anatoka familia gani.
Sasa...
Habari wakuu...
Binafsi nimemaliza form four mwaka 2015 sasa nimefanya application kwa vyuo vya serikali course ya clinical medicine na labotatory matokeo yangu ni phy-C chem-C bios-C math-D...
Hyyyy waungwana..
Guys kutokana na kubana kwa vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu, imepelekea watu wengi kupishana njia na University...
Kama mm nimetoka na na EED (CBG)...
So nikaamua...
Habari wakuu, Result slp hazijatoka na kuna chuo Fulani kina dahili kwa kupeleka application form moja kwa moja katika chuo hicho
Namaanisha hawatumii ule mfumo wa online application hivyo basi...
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamu ndege hawa kisayansi. Ndege wa kwanza ni kunguru na wa pili ni 'hutu tunatotuita tundege kwa hapa DSM' naomba Infos ukianzia na...
Zamani TCU guide book ilikuwa inabainisha kozi ambazo ukizichagua kuna uwezekano wa kupewa mkopo, lakini cha ajabu mwaka huu 2017/2018, Tcu wametoa guide book, ambayo haionyeshi Kozi ambazo ni...
Kwa utaratibu wa sasa, tutegemee karibu waombaji wote wenye divisheni 1 na II na baadhi ya wenye divisheni III kupata nafasi zaidi ya mbili kutegemea ameomba vyuo vingapi! Si rahisi MTU kuomba...
Wakuu habari natumai mnaendeleza vema kauli mbiu yetu ya hapa kazi tu.Ndugu wadau naomben mnielekeze jinsi ya kuingia kwenye profile yangu ya UDSM.
MSAADA JAMAN NIPO CHAKA HUKU
Sent using Jamii...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri anataka kusoma ila hajajua asome kipi kati ya ACCA au masters yoyote kama MBA nk.
Uwezo wa kusoma kati ya moja wapo anao. Kwa mfano kusoma masters UD ada ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.