Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani nafanya application kupitia nacte kwenye vyuo vya afya inapofika sehemu ya kujaza index no. za ACSEE ina failed kuendlea inanpa error
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow wana jamvi, Samahanini kwa usumbufu, ningependa kufahamu ni combination/mchepuo gani ambao unaweza kusoma pale katika Chuo cha Kodi/Mapato. Na kama nimemaliza form four naweza nikasoma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HAbarini ndugu!!! Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu pendwa..... Wanajukwaa naombeni msaada kupata past pepars form two 2016(physics & mathematics) ambazo ziko in PDF ili nkazi print...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wakuu... Nyumbani wanajaribu kunishauri niapply chuo cha KIGAMBONI CITY COLLEGE course sasa mimi nimejaribu kukifuatilia nimeona ni chuo kipya....pia hakina hospitali je hivi kuna madhara...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
habari zenu wadau. naomba kwa anaefahamu vyuo vinavyotoa masters online hata vilivyo nje ya nchi lakini vinatambulika anisaidie.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naomba msaada wa maelekezo ya kujiunga kidato cha tano 2015 kwenye shule ya sekondari Jitegemee,kwa yeyote anayejua naomba msaada, Note:nipo mkoani
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nataka niapply vyuo vya afya kozi ya certificate in clinical medicine , certificate of pharmacy , matokeo yangu haya hapa , physics ,C , chemistry,C ,biology, D, english ,C , civics ,B...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar mwana jf,,nikuwa naomba kujua kwa matokeo haya naweza kuapply technical collage, phyD, chem,C, bio C,geoC,kiswD, hist, C,eng C,math f,civC Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
703 Views
Nilifanya online application UDOM na kulipia 30,000 kupitia tigo pesa (kutoka kwenye namba 0********6 kwenda namba +25565101101 muamala wa tarehe 24/07/2017 ) na waka confirm kwamba pesa imeingia...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Salaam, Jaman naomba nisaidiwe ktk hili. Aliyesoma laboratory attendant anaweza kuajiriwa hapa nchini? Pia anaruhusiwa kujiendeleza kimasomo? Laboratory attendant na Assistant Laboratory...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Ningependa Nipewe Ufafanuzi Kwa Mtu Mwenye Ulemavu Kwa Mfano Na Rafiki Yangu Kipenzi Ana "Monocular Vision" Yaani Anaona Kwa Kutumia Jicho Moja Sasa Ameniuliza Kwenye Kipengele Cha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu msaada, Nina wadogo zangu wawili mmoja yupo secondary anasoma boarding na mwingine yupo shule ya msingi. Wa secondary huyu kashaamishwa shule nyingi sana tokea mdogo na sababu kubwa ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini Ndugu wanajamvi,nimefanya maombi ya mkopo kwa ajili ya mdogo wangu bodi ya mikopo.Nimejaza taarifa zote lakini kwenye post form four education kila nikiingiza index namba wananiambia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi ni muhutimu wa kidato cha sita mwaka 2015 katika tahasusi ya PCB nilibahatika kupata alama za kuniwezesha kujiunga na elimu ya juu japo hafifu E, C, C, D, na E kwa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
SERIKALI imewasilisha pendekezo la mabadiliko ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuwezesha wanafunzi wanaochukua Stashahada katika vipaumbele vya kitaifa, kupewa mikopo ya kuwawezesha...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Nipo najaribu ku apply diploma nataka cozi za kilomo nimelipia nacte naona ualimu na afya nomba kujuzwa wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar wakuu.. naomba anayejua mahala wanapo fundisha 2&3D Animation kwaku specialised kwenye iyo moja kwa moja, maana nilienda DIT wanafundisha multimedia & Film technology, lkn uwe umefanya...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyoeleza kuna uwezekano huo au kutakua na shida yoyote? Wataalamu msaada please. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Eb nisaidien kwa wenyej wa dodom ni changamoto gan zinawakumba huko maana nampango wa kuja Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahan wakuu leo nimejaribu kumwombea mdogo wangu mkopo kupitia heslb lakn cha ajabu kwenye kipengele cha occupation sioni kaz ya wazaz wake kwan wao ni wakulima na hiyo sion kwenye list...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom