Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Inasemekana, "Except for eight schools, Kiswahili in 2010 was the medium of instruction in the 15,816 public primary schools nationwide." Kuna anayezifahamu ni shule zipi hizo lucky eight? Naomba...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Wakuu inawezekan mtu kurudia somo moja tu au lazima urudie yote mathalani nwenye BDD biology na chemistry. Geography. Na advance alienda kusoma
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Wadau naomba msaada niko natak kumregister ndugu yangu ili aweze kufanya maombi ya chuo but kila email nayoingiza naambiwa email not valid.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbona kweny step 1 ya "my profile" sehem ya entry category inagoma kujisave inabak blank hata kama ukijaza, alaf kuedit imegoma kabsa Msaada plz wadau Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law (LLB))...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Sitaki kupoteza mda Wasomi naomba mnijuze iv huwa kuna degree ya biology maana kuna mtu hapa kanambia et yeye ana degree ya biology Naomba mniambie ukweli ili nijue kama kweli huyu mtu ni...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye notes zozote za sheria za kodi Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Naomba taarifa za Ngudu high school kwa wanaoifahamu kijiografia na taaluma kwa ujumla wake. Nimechaguliwa kujiunga hapo kidato cha tano kwa comb. ya PCM kwa mwaka huu wa masomo. Pia ningependa...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Wakuu,Salaam Kuna hizi kozi mbili za sheria ya Bachelor of Laws LLB na Bachelor of Arts in Law enforcement,ni kozi ipi soko la ajira ni kubwa kwa sasa. Ushauri wenu ni muhimu wadau na Mungu...
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Naomba kuuliza kwa anayejua hvi ukisoma basic technician certifucate in pharmaceutical science NTA 4 ukifaulu vizur unaruhusiwa kusoma, level 5, 6 then degree for the same course? Naombeni kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani namfanyia application bwana mdogo sasa sehemu zingine zote flesh ila tukifika sehemu ya kuingiza details za fomu this naambiwa errors jamani naomba aliyefanikiwa kuapply na alikumbana na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Guyz naombeni mnijuze ni nini tofauti kati ya PC na school candidate kwenye mitihani ya form six??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
6K Views
natumai niwazima wanajamvi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepatwa na matatizo anuai basi Mungu ashushe huruma yake ya kiroho wapate nafuu. UDOM ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania ila...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Vijana kazi kwenu chacharikeni kuna vyuo tayar vishafungua maombi ya undergraduate.. Source: www.tcu.go.tz Vyuo ambavyo tayar 1.Arusha Tech www.atc.ac.tz 2. Must www.mist.ac.tz 3. Saut...
1 Reactions
127 Replies
18K Views
Naomba msaada ndugu zangu nilimaliza 4m4 nilipata ufaulu wa daraja la 4 nahitaji kujiunga VETA, naomba ushauri nikasomee kozi gani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wadau,,natafuta chuo kinachofundiasha course za computer nipo dar es salaa kunduchi,,
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Habari wadau.. Naomba tuambiane ukweli,elimu yetu inakosea wapi? UDSM ina College of Fine and Performing Arts ambayo inatoa degree za uchoraji, music, movie na other performing arts. Imeanzishwa...
6 Reactions
67 Replies
12K Views
Habari wakuu, mwaka jana wanafunzi wenyesifa ya diploma kujiunga na elimu ya juu walikosa mkopo ila haikufahamika kwa kigezo gani, sas nmeleta uzi huu kwa yeyote mwenye taarfa sahihi kuhusu mwaka...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
NACTE walipoyaacha mamlaka ya upokeaji wa maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali vya kati hasa vile vya Private (colleges) nadhan walikua na nia njema, lakin hawakupanga ni namna gani watadhibiti...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom