Habari za usiku..
Nimemaliza form four mwaka 2015 na nilipata div two ya 21 kwa upande wa science phy-C chem-C bios-C math-D english-D
Hivyo kwa mwaka huu nimeaplly vyuo vya afya vya serikali kwa...
Wakuu habari,
Naomba kufahamishwa maonyesho yaliyoko Mnazi mmoja ya vyuo vikuu yanaisha lini?
Pia nikihitaji kwenda kuomba chuo utaratibu uko vipi katika maonyesho hayo?
Sent using Jamii Forums...
Naombeni kuuliza jamani et Kama umefanya application mwez wa tano pale kweny profile yako ukibadilisha email tofauti naile uliyotumia kipindi naanza application kuna Tatizo? Nilifanya application...
Je? Naweza kupata msaada popote kwa mtu wa kunidhamini katika masomo yangu nilimaliza kidato cha nne 2014 nilifaulu kwenda advance PCB lakini sikwenda niliapply chuo course ya nursing...
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.
Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya. Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri.
Maskini ana mawazo...
Kutokea jana nimetuma pesa kwenye akaunti ya UDSM kwa njia ya MPESA shilingi elfu 20,000 lakini hadi leo ninaonekana sijalipa na ujumbe ni ule ule wakati walitoa taarifa kwamba tovuti yao...
Jamani ninhitaji kusoma course ya Business adminstration lakini naomba mnijuze naweza kuwa Hr hasa kwenye ofisi za serikali???? Kwa wenye uelewa na hili
Samsung J7
Habari za wikend wadau.
Kuna wale wanaoomba degree kuna aliyefanikiwa kufanya application SUA?
Kama umeweza naomba unielekeze, mimi nimejaribu nimeshindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ambaye ameshafanya applctn mbeya university of science and technlg.....
Naomba anifahamishe jinsi ya kutuma ile form baada ya kuijaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi mimi ni mdau wa masuala ya mafuta na gesi, nawashauri vijana mnaoomba kuingia vyuo vikuu katika ngazi ya degree chagueni kozi zingine tu, kozi hizi zilizopigiwa chapua sana hapa nchini...
Habarini mkuu..
Kuna baadhi ya vyuo kama st john,st francis,kcmc,kampala vimefungwa sasa wakuu inakuaje kwa sisi tuliaopply course vya afya kwa ngazi za diploma je kuna madhara yoyote na ni kweli...
Wakuu tumekwama. Baada ya kulipa step 2 kijana anaingia step3 Academic qualifications. Akiweka either O level na index namba yake au A level na index namba yake anaambiwa "Names of this Index# do...
Habari wakuu..
Kuna course ya inapatikana vyuo vya afya inaitwa medical laboratory science na nyingine nimeikuta technical college inaitwa laboratory science technology...
Wakuu tofauti ya hizi...
Naomba mwenye kujua sifa za kusoma chuo cha ualimu ngazi ya cheti, kwa matokeo ya GPA, sababu kwenye guide book za nacte hawajafafanua.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.