Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.
Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti...
MODE OF APPLICATION FOR UNDERGRADUATE PROGRAMMES
Applicants with the appropriate “A” Levels passes (Direct Entrants) and Diploma Holders (Equivalent qualification) seeking admission at CUHAS into...
Nawasalim wakuu,
Nimeombwa kumsaidia kijana kuweza kutengeneza career katika nyanda ya afya ya binadamu, mifugo, au mazingira.
Naomba mnishauri kozi nzuri za diploma zenye future hata ikibidi...
Shikamoo wakubwa waJF?
Kichwa cha habari kinaeleza kwamba tarehe 30.10.2017 nitakuwa pale Jitegemee JKT kuliamsha dude lililoandaliwa na bi Joyce Ndalichako na mshkaji wake Charles Msonde.
Mimi...
Hello!
Loved greetings from Zanzibar Island (Tanzanian)
My name is Said,I'm an advanced student graduated on May this year(2017).My dream is to be the Best Teacher so that my society will extract...
Kwanza naipongeza serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu kupunguza gharama za maombi kwa vyuo vyake kwa waombaji wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka 2017/18.
Ombi langu kwa serikali ni...
Wana JF niikiua naomba kuuliza kuhusu bachelor ya computer science katk chuo ch Arusha technical collage je ni chuo sahihi pia na kinatoa wataalamu wa fani hii???
If the government had barred some varsities from enrollment this year citing the Universities failure to meet requirements, then what about the students/ graduates who finishes from the same...
Poleni na shughuli zenu.
Naombeni msaada wenu nataka kutuma maombi chuo kikuuu cha sayansi na teknolojia MUST ila nina hofu kidogo nitume kupitia email zao au posta au naweza kutuma kote.
Kama...
Habari ya asubuhi?
Toka Jumatatu nimekuwa najaribu kufanya online application katika chuo kikuu cha ardhi, nimefanikiwa kufungua account na kuanza kujaza step ya kwanza,lakini step inayofuata ya...
Naomba kujua kama chuo hicho MACHAME HEALTH TRAINING INSTITUTE - MOSHI kinapokea wanafunzi wa diploma direct FORM 4 from school--
Kuna tabia ya vyuo kuweka matangazo kuwa wanapokea form 4 kumbe...
Naomba uongozi wa chuo kikuu SUA mtazame upya mfumo wenu wa kusajili wanachuo wa mwaka wa kwanza unasumbua na hauna mtiririko ulio sahii kama vipi? Muwaombe UDSM wawape mfumo wao wanaoutumia Ni...
Habarini za mchana!
Nimekuwa kwenye harakati za kuomba vyuo kupitia online system. Nimelipa fedha kupitia M PESA kwenda chuo kikuu cha ARDHI.
Meseji imerudi kuwa hela imetumwa lakini system ya...
Ardhi University: Kwa Wanaosoma Kwa Malengo
*Kwa wanaotaka kujiunga elimu ya juu* , wengi huwa hawajui kozi wanazotaka kusoma zina mwelekeo upi. Wengi pia hata vyuo wanavyotaka kwenda kuvisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.