Kulipia kila maombi ya kusoma kwa mwanafunzi kwa kila chuo Sasa ni kikwazo kwa watoto wanaotoka familia masikini kabisa.
Zamani ilikuwa TCU unalipa 50,000/= kwa CAS Sasa hii ya Sasa Kali.
Prof...
Kichwa cha habari cha husika, ni ombi nalileta kwenu kwenye kipengele cha malipo muongeze fursa za ulipaji kwa kutumia MPESA,AIRTEL MONEY na N.K siyo kutumia TIGO PESA na CRDB Benki peke yake kwa...
Kwa mara ya mwisho serikali ilinunua vitabu kwa shule za msingi wakati pesa za rada ziliporudishwa serikalini.
Miaka inaenda, watoto wanazidi kusogea madarasa bila kuwapo vitabu.
Serikali...
Wakuu poleni na majuku naulizia aliyesoma Bacherol of Community economic development hii course ina hesabu ni hilo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo la kusikitisha kuwa UDOM direct form 4 FROM SCHOOL hawachaguliwi, lakini wameweka kwenye application kama mojawapo ya possible applicants FOR DIPLOMA, wakati wanajua fika kuwa Form 4...
Hello wadau, Tafadhali mwenye ufahamu na uombaji wa vyuo mwaka huu wa masomo 2017/2018. Hivi maximum ni vyuo vingapi vya kuomba, au ni kutupia tu kadri uwezavyo..... Tafadhali majibu yenu...
Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016.
Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana...
Wakuu poleni na majukumu.
Binafsi mimi ni mjasiriamali na mwajiriwa pia.
But nimepanga nisome open university kutokana na kubanwa na majukumu ya kimaisha.
So nimekwama sijui ipi bora kati yao...
Salaam Wakuu,
Niko hapa naandaa maombi kwa ajili ya udahili wa chuo kwenye mfumo wa NACTE (STUDENT'S ADMISSION VERIFICATION SYSTEM), ila kuna kipengele nimekwama ambacho kinanitaka nijibu ndiyo...
Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia
Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo...
Wakuu na maafisa wa Idara na Vitengo mbalimbali vya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu wapo katika maandalizi ya mwisho ya kufanyia majaribio mfumo wake ulioboreshwa wa uombaji mikopo...
Namfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found...
Habar zenu ndugu.
Polen na majukum ya kimaisha ya kila siku, nahitaji msaada maana nipo nafanya application ya higher diploma kwa kutumia matokeo ya kidato cha 6 mwaka 2017 kupitia NACTE...
Nimejaribu kupitia fees structure za DIT kwa private sponsored students,nimezisoma zote na kuzielewa.
Lakini nimeshindwa kupata jibu kama nitapokelewa endapo nitalipa ada nusu lakini...
Hiv kati ya hizi faculties ipi ni nzuriii zaidi... Hasa kwa arts...
1.Bachelor of science in land management and valuation..
2.Mass communication..
3.B. Law..
Sent using jamii forums mobile app
Tokea jana nimetuma pesa kwenye akaunti ya UDSM kwa njia ya MPESA shilingi elf 20000 lakini hadi leo ninaonekana sijalipa na ujumbe ni ule ule wkt walitoa taarifa kwamba tovuti yao itajibadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.