Habar za jukwaani?
tafadhali naomba kufahamu kama kuna vyuo special kwa ajili ya watu ambao wana matatizo ya kusikia.kwani nina mdogo wangu amehitimu kidato cha sita mwaka jana na amefaulu vizuri...
Msaada wandgu, niko nafanya application udsm hapa, nimeshalipa pesa tayari na message imekuwa derivered.
Sasa pale wamesema baada ya malipo unangoja mfumo ujiupdate kwenda kwenye stage ya tatu...
Nimefuatilia mahojiano yake anayoyafanya hivi punde na Kipindi cha 360 cha Clouds tv na kuna kauli moja ameitoa kiukweli nadhani huku kupimwa ' mkojo ' kusiishie tu kwa Watu wengine bali nadhani...
Wadau naomba msaada nimepitia kitabu cha TCU bahati mbaya sijakiona chuo cha KCMC naomba ufafanuzi kama mwaka huu tunaruhusiwa kutuma maombi ya udahili KCMC
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Nimefuatilia kwa miaka mitatu hivi, nimeona wizara ya elimu na baraza la mitihani hazilijumuishi somo la General Studies ktk ukokotoaji wa division.
Kuna...
Toka jana najaribu kuwalipia vijana wangu malipo ya chuo lakini sijafanikiwa. Mmoja naomba UDSM na nimelipia kulingana na utaratibu waliouweka wao, lakini ukiingia kujaza naambiwa sijalipia. Na...
Habari zenu wandugu. Napata tatizo kupata verification number, mwanzoni nacte waliniambia hawana data zangu, nikawasiliana na chuo wakaniambia wametuma, Ijumaa nikajaribu tena kuaply ver no...
Wanachuo walimu watarajiwa(sekondari),sasa walazimishwa mazoezi ya kufundisha wakafanyie shule za msingi.
Hivi taarifa zao zitakuwaje wakati wa kuomba kazi baadaye?
Hivi MTU akitakujifunza udereva...
Mimi nikijana niliyehitimu kidato cha sita ila kwenye matokeo nimeandikiwa E* je naweza fuatilia baraza au shuleni msaada wa mawazo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Mlio chaguliwa unique academy karbuni
1.bachelor of information security
2.bachelor of Networking and Hardware
3.bachelor of information Technology
4.bachelor of software
5.bachelor of...
Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni kujua hii ni haki kweli?
Mimi ni mwalimu katika mkoa fulani, mwaka huu kwangu haujakaa vizuri kabisa kutokana na matatizo yaliyoniandama. Mwanzoni mwa...
Wanajf
Km kuna yeyote ameshasoma chuo cha DIT kwa diploma au degree, vipi ufundishaji wao ukoje?
Prospectus, lecturers, Naomba maoni yenu wakuu.
iPhone 6s
Samahani wadau naomba kuuliza hvi aliyemaliza form four 2009 anaweza kuapply vyuo hvi Dar es salaam instute of technology(DIT) au Must (mbeya) mana naskia wanahtaj only waliomaliza kat ya 2012 up...
Habari za muda huu wana JF, Mimi ni mhitimu wa form six mwaka 2014 kwa mchepuo wa PCB matokeo yangu yalikua;
physics-E
chemistry-D
biology-C
Nataka mwakani nijiunge na elimu ya juu, je niresit...
Habari za muda huu wanajukwaa, nakusudia kutuma maombi ya kujiunga na kozi hiyo pale WI.
Sasa naomba kufahamishwa kama kozi hii ina uwanja mpana wa kujiajiri au kuajiriwa!
Pili, vipi ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.