Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu ila matokeo yametoka vibaya, nini three ya 14. Nimeshindwa nifanye nini maana naona kila niwazacho hakiko sahihi.Nimefikiria kurudia mtihani mwakani lakini...
Habari zenu wapendwa
PCB niko na ufaulu huu ECC naombeni ushauri ni course gani kati ya hizo hapo juu nikisoma ni nzuri na pana katika upande wa ajira
itakayonisaidia
mawazo yenu ni muhimu...
Wandugu naomba kujuzwa kwenye uombaji wa chuo unaomba vyuo vingapi na kila chuo unaomba kozi ngapi maana muda unazidi kukata tu halafu siku zinazidi kupungua msaada wa haraka tafadhali
Sent using...
Amani iwe nanyi waungwana,kama kichwa kinavyojieleza naomba kuuliza kwamba,ilikupata ile code ya nacte itakayo kufanya uweze ku apply chuo kwa mwaka huu ni lazima ulipie ile elfu 10,mana kuna...
Nimepitia application znazofanyika nacte nimekuta ile sehem yakujaza namba ya mtihani wameweka option mbili tu namba ya kama school candidate na namba ya kama private candidate.
Swali langu nikua...
Nimeona vyuo vingi vinahitaji , kwa diploma, credit tatu kutoka science subjects maths, chemistry, biology and physics kwa kozi za afya. Nimecheki wanafunzi wengi wa science physics na hesabu ni...
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASIKINI
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela...
Msaada kuhusu Loan Board ivi kwa table inavyoonyesha hapo chini ni tayari wanafunzi wanaanza kuomba? mana sentens ya juu ni bado lakini ukienda kwenye Apply for Loan systeama kama inaturuhusu...
Nataka niende nikarisiti cheti cha form four ila nimesha maliza certificate ya agriculture nimetuma maombi yakwenda diploma sijachaguliwa sababu sijafaulu mathematics katka chet changu je...
Habari mkuu?
Mimi ni mwanafunzi nimehitimu form six mwaka huu nasoma mchepuo wa HGE kwanini nimekuja hapa?
Wakuu
-course gani ninaweza kusoma pindi niwapo chuo pasipo kufikiria kujiajiliwa...
Nina mtoto wa miaka minne anasoma chekechekea lakini naona mwalimu wake wa chekechekea hatoshelezi kama mm mzazi sitakuwa na juhudi ya kumkazania.
Kwa sababu elimu ya tanzania inachangamoto...
Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarin... yule kaka akamuomba mdada namba ya cm. njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafr mpka hom kwao
bas wakawa...
July 21, 2017
THE DISSERTATION POLISHING SEMINAR AT MZUMBE UNIVERSITY DAR ES SALAAM (EPISODE ONE)
Prof. Ngowi clarify the point during the Dissertation Polishing Seminar on 19th July 2017 at...
Wazima wakuu,
Ukipitia guide book ya tcu MD ndo kozi yenye sifa ngumu kujiunga.. Inataka kuanzia point 8 alafu uwe na atleast Phys D, Chem C na Bios C.. Hizi sifa zimeshiba, wakati kozi zingine...
Press Gaggle by Secretary Mattis
U
. Press the Enter key to open the contact card." style="unicode-bidi: embed; direction: ltr; user-select: text; cursor: pointer;">U.S. Department of Defense...
*INAMAANA GAN?*
watu watatu walipata *ajali* ya gari na hawakujitambua kabisa. Raia mwema akatokea sehem ya ajali na akataka kupiga simu *kwa msaada* bahati mbaya hakuwa na simu. Kwenye ajali...
Ndugu wana bodi,
Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hawa wanachuo watarajiwa wenye combination za HKL, HGL, HGK nk.Course gani hawa wakisoma watapata ajira.
Wahenga wote wa humu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.