Soma tangazo (attached file) hili, item 2.0.
Baada ya vyuo kuchagua and being linked to TUC, NACTE and NECTA data bases, finally TCU has to cross check if rules have been adhered to! If not you...
Pombe Magufuli anachochea sana matabaka baina ya walionacho na wasionacho.
Tunaona mara kwa mara watu wenye pesa wakinyanyaswa na magufuli, kwa mfano alihaidi atawashusha waishi kama mashetani...
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu kapata division 1 form 6 na anataka akasomee udaktari degree MD.
Naombeni muongozo jinsi ya kupata scholarship katika vyuo vya nje.
Habari za asubuhi wapendwa
Kumekuwa na kukata tamaa kwa wazazi na wanafunzi baada ya matokea ya mitihani iwe ya kidato cha tano au cha sita. Wanafunzi hasa waliofeli kidato cha sita na kupata...
Kuna mdogo angu amemaliza kidato cha sita na anataka aombe chuo. Ila kozi anayoitaka inaitwa bachelor of Science in
Insurance and Risk management.
Hii inahusu nini hasa ili nikamuelekeze dogo...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa ngazi ya Cheti (Astashahada) na Diploma (Stashahada) kupitia Mfumo wa...
Ndugu naombeni kuuliza,! Ni sifa ipi ya mhitimu anayetakiwa kujiunga chuo kikuu mwaka hu!? Awe na D 2,au C 2?! Katika kusomea coz ya Ualimu.Na pia,C inaanzia ngapii,41/50!! Na D ngapii, #Natumain...
Habari zenu, bila shaka mpo vyema. Shida yngu ni kwamba jina langu lililosajiliwa 4m4 limekosewa sasa walimu wamesema haiwezekani kubadilisha labda mpaka niende kuapa mahakamani, sasa naogopa...
Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi ni vigezo gani vinatumika kufanya kozi hii G.P.A iwe 3.0 na nyingne iwe 3.5, ni chuo au kozi, maana kuna kozi naziona ktk chuo A ina G.P.A 3.5 , Ukienda...
Habari zenu wanajamiiforumz wenzangu, natumaini hamjambo
Napenda kuwafahamisha juu ya Dictionary za kutumia kwa kudownload play store.
1.Merriam-webster,
Hii ni English to English...
ndugu wana jamvi mie nipo njia panda, nimeona humu kuna watu wenye hekima na busara. Juzi nimepeleka barua yangu kwa msimamizi wa kituo cha kazi lengo ni kupitishiwa ili nipate nafasi ya kuhamia...
Mambo ya TCU ndio yanazidi kuvugika na na pamoja na kwamba wamenyanganywa mamlaka ya kudahili, lakini wanazidi kuchafua halo ya hewa. ni maana Bora ingefutwa kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.