Bodi ya vyuo jamani angalieni na hali za watu kiuchumi mimi mwaka jana nilishindwa kuomba chuo kwa sababu nilikosa hela leo hii udom ni 50 kweli kwa chuo kimoja aisee bora wangeweka hela ambayo...
Hivi zipi ni nafasi za ajira kwa kozi ya bachelor of law enforcement. Nahisi ni kwenye polisi na magereza, je niko sahihi? Je umri wa mwisho kuajiriwa polisi kwa wenye digrii ni miaka mingapi...
Mimi ni kijana nimehitimu kidato cha sita nataka ku-apply diploma ya clinical medicine nilikua napenda mnijuze maana napata ugumu kidogo. Hivi pesa ya kujisajilia ile elfu 30, 000 nikwa vyuo vyote...
Mjukuu wangu hapana shaka ungependa kuwa bora kuliko wengine!?
Baraka: naam haswaa
Babu: nataka kukufunza jambo hapana njia yoyote ya kulitenda hili usipowaaminisha wengine kuwa wewe ni tofauti...
1.Kwa waliomaliza Cheti na Diploma wanatakiwa kuwasilisha nyaraka zao online NACTE ili zihakikiwe(verification) kupitia Link ambayo imetolewa kupitia mtandao wa *NACTE* baada ya uhakiki huo...
Wakuu,
Kama tunavyojua, suala la ajira kwa sasa limekua changamoto.
Sasa kwa kipindi hiki ambacho vijana waliomaliza kidato cha sita wanatarajia kuomba vyuo, sisi kama wasomi tuliokwisha pita...
Habari wapendwa,
Kwa anaejua jinsi ya upatikanaji wa private hostel kwa mtu anaesoma UCC city centre maana chuo kama chuo wao wanasema hawana hostel...nifanyeje ili nipate hostel ambazo zipo...
Sina budi kuwasifia wakatoriki wanapoamua kutoa huduma hasa kwenye elimu huwa hawana ubabaishaji!
Kwa chuo cha NURSING AND MIDWIFERY KABANGA hali imekuwa tofauti sana tena zaidi ya sana! Chuo...
Habari wadau
Naomba kujua ama kuelekezwa dictionary au kamusi nzuri ambayo itakuwa nyepesi hata kwa mtu wa level ya darasa la Saba kujifunza na kuelewa.
Ikiwa na terminology nyingi za kutosha...
FEE STRUCTURE FOR MD PROGRAM IN
ACADEMIC YEAR 2015/2016
(FIRST YEAR MD STUDENTS)
1.1
Direct university cost (Fees payable to the
university)
Sn
Item description
Amount (Tshs)
1...
Habari wadau,nimeona kwenye baadhi ya vyuo kwenye hizi applications za vyuo mwaka huu 2017/18,wanahtaji cheti origino cha form six, swali langu ni..inakueje kwa waliomaliza mwaka huu.
Maana...
>Bachelor of arts in project planning,management andcommunity development
>Bachelor of health system management
>Bachelor of arts in geography and environment studies
Wakuu! kulingana na kozi...
mwenye ufahamu na course tajwa hapo juu. inahusika na nini?wigo wake wa ajira.kampuni gani au taasisi zenye huhitaji na wataalamu hao! pia loan board wanawapa priority?
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.