Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Uzi huu ni maalumu kuelezea ubora na changamoto za Chuo kikuu cha Dodoma. Kwa maswali haya machache nahisi tutaibua hoja nyingi za msingi na sio mabishano ya chuo kipi bora. -Yapi mafanikio ya...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari njema ziwe nanyi wapendwa wa jf. Kama kichwa cha habari kinacho jieleza ni kuhusu msaada wenu wa kuweza kunijulisha chuo ambacho kinatoa mafunzo au kozi ya siasa, maana nimekuwa nikipenda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemaliza kidato cha sita coz cbg bt mepata e flat! Naweza soma coz gani za sayansi japokuwa my dream ni kusoma medical laboratory kwa diploma mana degree naona ishabuma points hazitoshi ushaur...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Naomba namna ya kudownload application form ya mzumbe university 2017/2018 maana Mimi ninayoiona ni yya 2016/2017.asanteni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa baraza la taifa la necta na TCU kwa kazi wanayofanya. Matokeo ya kidato cha sita yametoka na TCU wameshikilia msimamo wao wa minimum entry requirements ni at...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Msaada ..Eti form six waliomaliza mwaka huu (2017)wanaruhsiwa kuapply NACTE tarehe ngap?? Maana nimejaribu nikaambiwa namba yangu ya form six haitambliki kwenye data base zao!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tzjobconnection tumekuwekea listi ya vyuo 14 vilivyoanza kupokea maombi ya masomo ya degree kwa mwaka 2017/18 wa masomo, soma admission requirements na download application form* bofya kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana...
2 Reactions
0 Replies
675 Views
Ndugu kwawale wanao kifahamu hiko chuo naomba wanieleze cpt yaani computer engineering wanafundisha vizuri kweli , alafu kinaweza kukifikia dit.
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari wakuu Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita 2017 nakufanikiwa kupata hivi. D,E,E in C,B,G. Niko hapa kutoa maoni yangu kuwa tunaombeni sisi wadogo zenu tuliofanikia...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
*KUANGUKA KWA ASSYRIAN EMPIRE* 616-605 BC Medes na Babylon ni miongoni mwa miji iliyokuwa chini ya utawala ya assyrian empire.. Ikatoea kwamba wanajamii wa Babylon wakaanzisha mapigano dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum, mimi naomba nitoe ushauri kwa wadogo zangu mliomaliza form six na mnatamani kujiunga na chuo kikuu. Maisha ya sasa yamebadilika usiende chuo kwa kutaka sifa unasoma degree...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma Post sent using JamiiForums mobile app
1 Reactions
126 Replies
17K Views
Hivi kwetu form six tuko mtaani hatujui process za kuomba mkopo zinaanza lini na Jinsi ya kuomba wanafanyaje? Samsung galaxy ace J1
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari jf Naomba kuuliza kwa mwanafunzi wa diploma anaetaka kujiunga na degree coz ya telecom engeneering anaweza kupata mkopo na utaratibu ukoje tafadhali?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wanandugu, Nipo chuo fulani Hapa Tanzania Nasoma Civil Eng, sasa nataka Nihame kozi niende ualimu japo nina ufaulu mzuri kwenye kozi yangu with no sup ila najisikia sana kuwa na Hamu ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Je unaposoma course za management hasa Human Resource Management inahusiano na somo la hesabu. Maana mimi kwenye hesabu ni chenga tu. Tafadhali nisaidiani maana naweza chagua hii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie Kwa yeyote mwenye current syllabus (2017/2018) ya A-level kwa masomo ya physics, chemistry na mathematics. Naombeni sana ata mniongonze jinsi ya kuipata. Asanteni. Post sent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani wakuu naombeni mnipe habari zaidi juu ya course hizi za afya 1. MD 2. PHARMACY 3. MEDICAL LAB 4. DDS Hapa nahitaji ufafanuzi wa kutosha kwa kila course, ahsanteni wakuu Sent from my...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu.... Nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nimepata one ya 11 nimepangwa shule mpya inawanafunz wachache nimepangwa comb pcb nishaurini nihame au nifanyaje..?? Sent using Jamii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom