Jamana naombeni ushauri wakuu nimrchakuliwa CBA kibiti vp niende au niangalie ustaarabu mwingine maana hali ya uko siielewi elewi wakuu
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Kama kichwa kielezavyo, mdogo wangu amepangiwa kibiti combination ya PCB, Kwenye familia kumekuwa na ubishani mkubwa wengi wao wakipinga aisende huko kutokana na hali ya usalama, sisi wachache...
Wadau naomba msaada wa maswali haya ya population. Yanahitaji nini haswaa na points zake no zipi.
1. Analyse population problems of underdeveloped countries.
2.Explain why population growth in...
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita Hassan Gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Cc Ritz
==========
Mirerani. Hassan...
Hivi karibuni TCU wametoa guideline ambazo ziliandaliwa kama rungu kuwapiga madogo waliohitimu kidato cha sita kwa michepuo ya sayansi.
Kiukweli vigezo vilivyotolewa si tu vinalenga kukandamiza...
hivi nyie nacte,kwa nini mtandao wenu uko verry slow na mara nyingine haufanyi kazi kabisa,sasa vijana wetu wanaotkakuomba vyuo wataombaje ilhali mtandaowenu unazingua,
rekebisheni system zenu...
Habari zenu wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2017 combination HGK na nimepata daraja la pili kuna mtu amenishauri nisome fuculty ya International Relation.naomba kujua je faculty hii...
Ni kitendawili kisichoteguka juu ya suala la uhamisho tangu msukuma akalie kiti. watumishi wanakufa kutokana na kuwa mbali na huduma, mfano wagonjwa. familia kusambaratika, wagonjwa kukosa huduma...
Wakuu naombeni majibu yenu, maana hili somo kwangu naliona la ajabu nashindwa kabisa niliweke upande gani, maana unaweza ukatoka kwenye mtihani ukaona umenyoosha A safi kabisa lakini majibu...
Hivi karibuni ilisambaa video iliyomwonyesha Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma, Bibi Angela Kairuki akisema bungeni kuhusu fedha za walimu wa ajira mpya, posho na nauli...
hii video imenigusa sana ya Maisha baada ya chuo kikuu ... ukweli mchungu aliouongea jamaa.
n hapo ni usa.. ambapo ni nchi ya viwanda yenye mahela kibao....
video no 2 ni japan.. napo...
Habar wana jf. Napenda kujua kwa undani chuo cha usafirishaji ktk taaluma na mazingira kwa ujumla pamoja na course ambayo ni unique kwa kada ya degreee. (Nmesoma EGM)[emoji120] [emoji120]...
Matokeo ya kidato cha 6 ya NECTA ya mwaka 2017 yamedhihirisha hilo, ambapo Kibiti Secondary imezishinda shule nyingi zenye majina makubwa zilizopo Jiji la Dar es Salaam, jiji lenye viongozi...
Ni matumaini yangu mmeamka salama wakuu.
Naomba kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma za uwalimu.
Msomo ya mwanafunzi husika ni CBA.
Amefaulu kwa division III ya 13.
Nitashukuru sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.