ARE YOU A GRADUATE AND LOOKING FOR FULLY FUNDED SCHOLARSHIP IN MASTERS/PhD?
MICHIGAN STATE UNIVERSITY WILL CONDUCT A RECRUITMENT FAIR ON 22nd JULY, 2017 AT INSTITUTE OF SOCIAL WORK. IT IS...
BUNGENI DODOMA: N/ Waziri TAMISEMI Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo wakafundishe, walimu wa ziada sanaa kupelekwa msingi
Kuna wasiwasi walimu wa sanaa kuwa...
Vyuo vikuu hapa Tanzania haviko aggressive and proactive katika kujitangaza tofauti na vyuo vya Kenya na nchi nyingine.
Vyuo vya nje viko active sana kujitangaza kwenye social media na media...
Naombeni ushauri kwa course zifuatazo ipi nzuri na yenye soko wadau
SUA
::Bsc of agronomy
,::Bsc in biotechnology and labaratory science
::Bsc in agricultural education
UDSM
:: Bsc in molecular...
Habari wana jamii.
Naomba msaada. Kijana wangu amehitimu kidato cha sita Ifunda tech lkn matokeo yake hayapo. Amewekewa E* E*__________. Je manaake nini ? Na ili kujua tatizo nianzie wapi...
Hello JF.
Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls...
Wakuu
kwa ufaulu wa Economic "D" geography "E" Mathematics "E" Zm(EGM) three ya point 14.
akasome kozi gani kwa ngazi ya diploma, kozi itakayokuwa na urahisi na mgawanyiko sehemu nyingi za kupata...
Shule ya sekondari Magufuli ni moja kati ya shule ambazo hazisikiki sana kwa sasa kutokana labda na sababu mbalimbali nmejaribu kuangalia matokeo yao mbalimbali ya miaka iliyopita na kulinganisha...
Jamani karibuni nyote tukumbushane yale yote tuliyopitia meta secondary school, mi binafsi namkumbuka mwalimu MWANGOKA, MAHENGE NA JOB karibuni kwa visa na vituko.
Post sent using JamiiForums...
kwanini boys wamefanya kawaida angali girls wao wamefanya vizuruli still wao ndio wana kaskkash nyiingi za ratiba za maisha.
JE BOYS WAMEKUWA MA BISHOO SAANA??? AU M. BET ZIMEZIDI AU SOCIAL...
Jina la Mh linazidi kung'aa hii shule ya jina lake hamna 0 hamna IV.
S4605 MAGUFULI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 8; DIV-II = 59; DIV-III = 16; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0...
Mwenye kujua shule yeyote ya serikali ninayoweza kumhamishia mdogo wangu yupo kidato cha pili, naona nikimleta huku karibu yangu itakua rahisi kumsaidia kimasomo. Shule isiwe mbali sana na eneo...
Habari wakuu,
Natafuta chuo cha maswala ya Afya kwa hapa Dar es Salaam kinachotoa kozi kwa nganzi ya Diploma, nursing, pharmacy, clinical medicine na zinginezo, mwenye kuvifahamu anitajie.
Post...
Link hi hapa
http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia...
Kama kuna kitu huwa kinaumiza vijana wengi wanaokua wememaliza elimu ya upili kwa upande wa sekondari mara baada ya matokeo kutoka huwa ni kujua atasoma nini, atasoma wapi na je anachotamani...
kwanza hongereni kwa kuhitimu kidato cha sita na kufauru kwa waliofauru. karibuni sana ktk ulimwengu wa wasomi..kwa bahati ambayo sio nzuri mmehitimu ktk kipindi ambacho muda mlioutumia shuleni...
tafadhari sana, naomba yoyote anayejua chuo cha private kinachodahili
wanafunzi wa diploma ya shule ya msingi.
aidha kwa sasa mwanangu yuko katika chuo cha ualimu cha private kinachotoa ngazi...
Shule ya sekondari Makumira inayopatikana maeneo ya Usa River jirani na chuo kikuu Makumira kimetapeli baadhi ya wanafunzi akiwemo ndugu yangu, walikua wanasoma hapo kama school candidates lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.