Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za muda huu,Kwa anayejua tarehe za kuripoti vituoni kwa walimu waliopangiwa vituo wiki hii anijulishe,nimejaribu kutafuta tangazo tamisemi sijaliona.
0 Reactions
1 Replies
799 Views
*GOOD NEWS FOR DIPLOMA HOLDER* Do you have Diploma with GPA less than 3.0 or more than 3.0 but you can't afford to proceed with degree program? "KP" PROFFESSIONAL SERVICES (KPS) invite you to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali..husikwa na Mada tajwa hapo juu.. Kuna Mwanafunzi wa Sekondar inatakiwa afanyiwe Uhamisho toka Shule Moja ya Mkoani kwenda Wilayani.. Mkuu wa Skonga yaMkoani anadai kule anaenda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Iv tcu kwa nn wasiwe wanapanga minimum entry za vyuo vikuu kabla ata watu husika hawajafanya mitihan ,kwan iv kupanga kila mwaka na baada ya mitihan hua inaumiza sana wanafunz kama mwaka jana...
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Msaada, naomba kujua hiki chuo kinachukua wanafunzi fresh from school ( dip clinical medicine) au ni upgrading ??? maana naona watu hawajakichagua kama vyuo vingine.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari, waungwana naskia Tanga kuna chuo cha kilimo kinaitwa UKIRIGURU, yeyote mwenye ufahamu please naomba msaada nimejarbu kucheki na mtandao but sijafanikiwa na je wanafanya ngaz ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
kufatia tangazo la bodi ya vyuo vikuu kuhusu admission 2017/18 sasa kidogo mmetufungua macho..lakini tatizo ambalo hamjaongelea kabxa ni bei ya form za application kutoka higher learning...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Wana JF naomba kufahamishwa kwa mtu alie na uhakika wa lini shule & Tahasusi zitatolewa kwa awamu ya pili kidato cha Tano 2017. Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu shukran zangu zimfkie kila mmoja.Kama ilivyo kwenye title ya hii taarifa tafadhari jamani naomben mnipemwanga maana kuna rafki angu ame apply hapo!!!!!! Sent from my TECNO W5...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu samahani nahitaji kusoma clinical medicine mwaka huu..je hivi ukimaliza C.O nasikia hauruhisiwi kuunga degree mpaka usome A.M.O je kuna ukweli hapo?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WARAKA WA ELIMU NA. 3 WA MWAKA 2015 KUHUSU VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 1.0. Utangulizi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatoa Waraka kuhusu vigezo vya kudahili...
2 Reactions
16 Replies
43K Views
Kwa waombaji, wazazi na walezi-tusome kwa umakini kalenda ya udahili iliyo tolewa na TCU (Admission Procedure for 2017/18 admission Cycle). Ni wazi hakutakuwa na muda wa alikosa round ya kwanza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salamu sana waɗau wa jukwaa hili.Maɗa hapo juu yahusika...naomɓa tu kufahamu kuwa ni kwa nn Tanzania One f6 wengi huwa ni wale wa PCM kwa upanɗe wa sayansi??...kwa nini wasiwe wale wa...
4 Reactions
60 Replies
12K Views
A baby leopard can't change his spots, but this lioness doesn't seem to mind. These beautiful pictures are the first ever taken of a wild lioness nursing a cub from a different species - an...
1 Reactions
2 Replies
814 Views
Nimeona tcu imebana nafasi kwa watu wa CBG kusomea baadhi ya facult za afya ila mimi natamani kusoma course ya bsc in enveromental health science je hii ni nzuri.....____??? Na vipi kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama title ilivyo guyz nisaidieni kama kuna anae jua issue ya loan kwa waliomaliza stashada wanapatiwa au las?!!!
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mama popote pale ulipo. Kwanza nikukumbushe ya kuwa katika somo la kiingereza hakuna msingi wa hii lugha zaidi ya kitu kinaitwa tense. Nakumbuka hii niliambiwa toka nikiwa darasa la sita mwaka...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wakuu Sijabahatika kukisoma kitabu kipya cha tcu ila kuna jambo linanitatiza wanasema vigezo vya kusoma afya uwe na afya sasa nje na lab tech,MD,pharmacy,nursing course zingine zipi za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mm ni nurse katika hospitali ya mkoa mbeya nahitaji kubadilisha na mtu yeyote aliyeko kati ya wilaya yoyote iliyoko mbeya au Songwe.Mawasiliano 0758408096
0 Reactions
5 Replies
929 Views
Hii ndo orodha kamili ya walimu wa hisabati na sayansi waliochaguliwa katika shule mbalimbali za serikali Tanzania ni shahada na stashahada kwa pamoja...Pongezi kwa wote Kwa majina, bofya=> HAPA
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom