Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari ndugu Kwa anaejua kuhusu kujiendeleza kielimu kwa mtu ambaye ana degree ya nursing atajiendeleza katika part zipi na zipi ??? Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za mda huu ndugu zangu wana JF. Nahitaji msaada kutoka kwenu wadau wa elimu. nina wadogo zangu wawili wako mwanza mmoja anasoma kidato cha pili na mwingine anasoma kidato cha kwanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kusikia serikali imeajiri lab technician 137 katika shule za secondary kichwa changu kimeibua swali na sijui niende ofisi zipi wao watanipa majibu ya swali hili .... Swali lenyewe ni...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Habari wana jamvi, Nina dogo langu kachaguliwa kwenda hio shule,nimefanya utafit sijafanikiwa kuifaham vizuri japo napata faraja matokeo ya nyuma ya shule sio mabaya,yeye kachaguliwa HGL, Nani...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kwa sisi tuliomaliza kidato cha sita mwaka huu 2017_ Wengine wetu hatuna uelewa mpana kuhusu uchaguaji wa kozi za kwenda kusoma chuo kikuu Tumeshazoea tuu kwa walio soma PCB ni kuomba tu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za sasa wanajukwaa .. naomba msaada kwa mwenye uzoefu juu ya kuomba kusoma CPA kwa watu tulio mikoani, je form zinazojazwa ni ngapi? Mpaka sasa nimejaza registration/exemption form na...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Habari za mchana wanagenzi, habari nilizonazo mpaka sasa kutoka uongozi wa serikari ya wanafunzi chuo cha madini dodoma(M.R.I.S.O) ni kuwa mpaka sasa kumekuwa na sintofahamu ya field kwa wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani serikali ina mpango gani na ajira za walimu? Msaada wadau maana naona kimya sana.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Mentee :- I can’t find free time. Life has become hectic. Mentor :- Activity gets you busy. But productivity gets you free. __________ 2. Mentee :- Why has life become...
8 Reactions
8 Replies
994 Views
Albert Einstein na u Genius wake wote ule hakufanya english NECTA ya kwao huko lakini bado akaishia kupata div(lll)... We kama bado unadhani A zako ndio akili basi PAMBANA NA HALI YAKO!!
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari ya muda huu ndugu zangu Kama mada hapo juu inavyoeleza,Kwa wale tuliojaliwa mwaka huu mwezi wa nne kwenye halmshauri mbalimbali hapa nchini limekuwepo tatizo kwenye halmshauri nyingi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hizo course mbili hapo nini tofauti yake katika usomaji wake? Na kwa mtu mwenye D-chemisty, D-physics na C-Biology inaingia hapo kweli? kwani pananichanganya kidogo! Naomba ushauri na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Government institutions
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello, I just wanted to request your views on if I could be able to study B.SC Information and Communication Technology. I took HGE combination in A level and passed BAM.Thanks, in advance.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu humu!! Naomba kufahamishwa kama kuna anayejua humu kuhusu uhamisho wa mtoto kidato cha tano. Mwanangu amepangiwa shule ya Arusha sec iliyoko Arusha mjini kusoma EGM, sasa hii shule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Khabari wana JF, nilihitaji kujua kuwa kwa mtu aliyesoma combination ya PCM anaweza kusomea nini hapa bongo na hatimaye kupata ajira kwa haraka. Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kielimu, mdogo wangu kamaliza kidato cha sita EGM , ni kozi gani na vyuo vipi anastahili kwenda kusomea? Naje? Anaweza kwenda kusomea pilot au geology akati hana D ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nipo katika harakati za kujifunza Computer lakini sijaelewa vizuri kuhusu maana na kazi za Microsoft Powerpoint na Excel. Mwenye ufahamu na hili msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote! Nataka kwenda masomoni, lakini nataka niache ualimu nikasome sheria, ni madhara gani yatanipata katika kutimiza hili? Nawasilisha Sent from my TECNO W4...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom