#Based_On_My_Experience
As the clock ticks me off this merciless world, my head bulges to a point I'm afraid to keep on containing these emotions, ideas and thoughts that have all this time been...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba msaada kuhusu ulipaji ada chuo cha udom yani unalipia kwa semester au unalipa yote kwa pamoja..... Natanguliza shukrani wakuu.
Kwa masikitiko makubwa Naona AZANIA wapo Kati ya shule kumi zilizoshika mkia, sijui ni nini kimewapata hii shule hapo zamani ilitambulika Kama Kati ya shule bora Sana ya serikali.
Post sent...
Hivi ni kwa nini chuo kikuu hamna tuition?
Aisee napenda sana kuhudhuria vipindi vya tuition kuliko vya shuleni sijui itakuaje kwa kweli
Shuleni mimi ni doja mzuri ila tuition ni mhudhuruaji...
Kama kuna kitu huwa kinaumiza vijana wengi wanaokua wememaliza elimu ya upili kwa upande wa sekondari mara baada ya matokeo kutoka huwa ni kujua atasoma nini, atasoma wapi na je anachotamani...
Ha ha ha ngoja nisubirie jina langu chuo cha MUHAS chuo kinachoeleweka Tz.
Wengine wanasubiri second selection ila bora hawa kuliko wanaosubiri diploma hawa ndio, tuliwashauri wasome wakawa...
Kutokana na website ya NECTA kuelemewa pata matokeo ya kidato cha sita na ualimu kupitia tovuti ya TAMISEMI
Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017 | PORALG - Tanzania
Assalam alaykum, naomba kuuliza, nimesoma degree ya account. Je master land management nitaiweza? Na je ina calculation nyingi?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kama kichwa cha habari kinavyosema hapo nimeona watu wengi wakipata shida kuangalia matokeo kwa kuwa link zinasumbua please fuateni link hii ni ya haraka mno ana hamtapata shida kabisa...
Amani iwe kwenu,naomba kuuliza ivi kuna course ya degree ya madawa kwa upande wa mifugo kama ilivyo pharmacy kwa upande wa binadam?na kama ipo chuo gani wanatoa,tafadhali naomba kufahamishwa kwa...
Wakuu nahitaji kufahamu jinsi ya kuangalia top 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye matokeo ya FORM 6.. au kama kuna mwenye hiyo link ya kuangalia naomba atume
Karibuni wote kwa nafasi za masomo ngazi ya Certificate na Diploma ya Takwimu. Katika CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA- DAR ES SALAAM- CHANGANYIKENI.
Sifa za kujiunga.
.Certificate
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.