Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
BEST TANZANIAN UNIVERSITIES: Latest Rankings 2016. 1 University of Dar Es Salaam 2 Sokoine University of Agriculture 3 Muhimbili University of Health and Allied Sciences 4 Mzumbe University...
4 Reactions
110 Replies
39K Views
Kwa hizi combination za A-level yaani Eca, Egm, hge, hgl, hkl, pcm, pcb, cbg, cba, cbn, ipi ngumu Kufaulu kirahisi? Na matokeo yanaweza kukugeukia muda wowote? iPhone 6s
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimemaliza diploma in general agriculture na nimepata GPA ya 4.5 pia certifcate nilikua na GPA ya 3.6 matokeo yang ya o- level hst E, Eng E , Chemst D , bios C, Math E ,Geog E, Civcs E ,na kiswahl...
0 Reactions
8 Replies
885 Views
Wakuu baada ya matokeo kutoka juzi na vijana wengi inaonekana hawajafikia vigezo vya TCU, kuanzia alama nne! Kuna dogo wangu kasoma PCB ana S D E, sasa inabidi aombe diploma kwa kutumia...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Kijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
0 Reactions
78 Replies
18K Views
msaada ndugu nataka kuapply chuo haswa dodoma nifanyeje Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wanajf.. Lengo la kuanzisha thread hii mimi kijana wa kitanzania mwenye upendo wa dhati na hii nchi sasa kwa kipindi cha muda mfupi nimefikiria kuwa mwandishi wa makala na vitabu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau mwenye kufahamu kuhusu kozi ya elimu au inayohusuana na elimu ambayo mwalimu wa grade A wa shule ya msingi anaweza kujiendeleza na kupewa ruhusa ya malipo kwa mwaka huu atujuze taphadhali.
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Naomba kuuliza gharama za kuapply zikoje na zinalipwa kupitia account zipi, na je kila chuo utakacho omba utatakiwa kulipia tena au utatumia slip moja ya malipo kwa vyuo vyote ? Sent from my...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu mabibi na mabwana,nahitaji muongozo.Ni hatua gani tunafuata kuomba chuo kikuu hasa sisi wenye diploma za ualimu.Kuna taarifa nilizisikia kwamba wenye diploma inabidi tutume matokeo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa waliosoma bachelor of science nursing ajira zake zikoje kwa mtu aliemaliza degree maana sjawahi kuona tangazo la kazi zikiwahitaji hawa watalaam na inachukua mda gani kusoma hii...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
FINLAND NA ELIMU YAO 1. The school system is 100% state funded. 2. All teachers in Finland must have a masters degree, which is fully subsidized. 3. The national curriculum is only broad...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nawasilisha, husika na title hapo juu; i)Udom imefanikiwa kutoa graduates wa mambo ya ICT but still website ya chuo haileweki and sometimes unreachable ii)Udom kozi ya udaktari...
0 Reactions
5 Replies
739 Views
Wakati wa kuchagua programs na vyuo vya kwenda kusoma ndio huu. TCU mwaka huu kwa kiasi fulani wamebadilisha vigezo vya kusoma programs za afya hasa MD, DDS na Pharmacy. Tunapotoa ushauri kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau ningependa kufaham kati ya Bachelor of science in insuarance and risk management na Bachelor of science in Tax management ipi ni course nzuri kwa pale IFM, kwa sabab nimefaul nmepata dv two...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenye kujua chuo cha kozi ya famasi (pharmacy) kwa ngazi ya diploma cha serikali anisaidie. (Omit, Muhimbili)
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa matokeo haya walimu mnafanya nini? Ni mfano tu wa shule za serikali! S5145 MIONO SECONDARY SCHOOL DIV-I = 8; DIV-II = 46; DIV-III = 106; DIV-IV = 15; DIV-0 = 5 and many many others!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello guys nimeitim form four this year, Nina history C, English C, physics D, chemistry D ,biology D, math na agriculture F na mengine yoote ni D wakuu vipi hapo nitaweza kwenda Post sent using...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari nahitaji kwa aliepata viwango vya kutunuku matokeo ya acsee 2017 necta kila mwaka lazima watoe ila mwaka huu sijaona Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom