Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tusaidiane kimawazo hapa,Nikiwa na shilingi hamsini 50/= nitumie shilingi ishirini 20/= zitabaki thalathini 30/= Nikitumia kumi na tano 15/= zitabaki 15/= Nikitumia 9/= zitabaki 6/= Nikitumia 6/=...
0 Reactions
5 Replies
833 Views
Wasalaam...Kama tujuavyo vyuo tajwa hapo juu ndio vyuo pekee katika Tanzania yetu ya viwanda vinavyotoa elimu ya ufundi kwa ngazi ya diploma na degree. Kwa kuwa wanafunzi wanaosomea fani za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ilivyo hapo juu mimi ni mgeni hivyo naomba mnipokee ahsanteni Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
967 Views
Utaratibu wa kupitisha kitabu kuwa cha kiada katika shule ukoje? Naomba mwongozo tafadhali Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Ahsante
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, Naombeni msaada wa material yafuatayo: FOUNDATION Level Quantitative Techniques, Business and Management, Accounting,Business Information,Business Law. Pia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama wewe in mhitimu wa kidato cha 6 au diploma holder unahitaji chuo chenye elimu bora na ya bei yenye nafuu kuliko vyuo vyote Tanzania MUM ndio chaguo sahihi. Million moja na laki mbili tuu ndio...
1 Reactions
51 Replies
13K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa kozi za afya zinazotolewa hapo chuo cha peramiho au naomba mawasiliano ya chuo hicho msaada wana JF. Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndug wana JF natumai mu wazma,,, mim ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Kibosho (KIBOSHO SCHOOL OF NURSING) niko mwaka wa kwanza ngazi ya cheti (CERTIFICATE IN NURSING) nimemaliza muhula wa kwanza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wenu mwenye sample ya field report ya Education/ Field ya ualimu Anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari? Mimi ni kijana miaka 20 kilichonileta humu najua kuna wadau mbalimbali wa elimu wanaweza kunishauri kwa kinachonisibu nilimaliza form four mwaka 2015 ila sikuweza kuendelea na form...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari? Swali je kuna madhara gani unaweza kuyapata pindi ukidrop advance na kwenda kusoma diploma mbalimbali kama za afya,biashara pindi utapotaka kujiunga DEGREE...
1 Reactions
47 Replies
16K Views
Kama heading inavoeleza kufanya application lazima upitie nacte ambapo wanataka uwe na cheti au results transcript. Ila hivyo vyote havijatoka na deadline ni tarehe 20 mwezi huu. Kuna njia gani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Baada ya TCU kutangaza fursa ya elimu ya juu kupitia progamu maalum ya Recognition of Prior-Learning (RPL) kwa ambao wana dip, cert, baada ya uzoefu kazini watu waliojitokeza kua apply kupitia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye waraka wa kujiendeleza kwa watumishi wa mwaka 2004 naomba jamani. Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Samahani jamani naomba kujua zaidi kuhusu chuo tajwa hapo juu kuhusu changamoto na mazingira kwa ujumla ili nijipange mapema maana nimechaguliwa hapo kwa Course ya Information...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani wadau wa cbe,namba kujuzwa kujiunga na chuo hiki kwa waliomaliza for six before 2013,naona wanasema akiwa na subsidiary ya pcm,PCB anaingia,au akiwa na second class diploma ni kweli Sent...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumai mko poa sana, Ki umri ni kijana wa makamo (early 30s) mwajiriwa na serikali yetu Tukufu ya Jamuhuri. Kwa elimu ni graduate wa chuo kikuu. Katika safari yangu ya maisha nimepitia mengi...
17 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa mwenye kujua chuo chochote cha private chenye kutoa hii huduma iwe ni Dar es salaam au mikoani,Day or Boarding ??? anipe location tafadhari
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za mchana wana forum, mimi ni mwanafunzi ninaye tegemea kumalizia degree yang ya kwanza katika chuo cha Sua katika bachelor of Science in Agricultural Economics and agribusiness mwaka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom